Msaada: Anataka kubadilisha kozi ya kusomea

789

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
262
250
Nimsaidiaje huyu dada?
Hakuchaguliwa mara ya kwanza ila sasa anataka abadilishe course ya kusomea. Hajui asome nini na alisoma Arts O-level matokeo 4 ya 28 halafu leo mwisho.
 

789

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
262
250
Sasa ajui course gani ambayo atapata ajila kwa Sasa akimaliza kusoma
 

Dennis002

Senior Member
Aug 18, 2014
140
225
Nimsaidiaje uyu Dada.hakuchaguliwa mala ya kwanza ila now anataka abadilixhe course ya kusomea ajui asome nini alisoma arts olevel matokeo 4 ya 28 afu Leo mwixho
Weka masomo yote aliyofaulu ndipo tutoe ushauri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom