Msaada juu ya Techinician certificate in primary education & ordinary diploma in primary education

mwita burure

Senior Member
Jul 8, 2016
192
39
Habari za muda huu wana jukwaa kuna kitu kinanitatiza kidogo katika application za NACTE especily upande wa education awali mfumo ulipo funguliwa kwa walioaply upande wa education ulikuwa ni ordinary diploma in primary education durution ilikuwa 3yrs both private and government baada ya majibu kutangazwa wale wa private walichaguliwa lakini wale wa government hakuna aliye selected kwa sababu zisizo na msimara special diploma watake chance mara selikali haijatoa tamko sababu nyingi mara usifute machaguo wakati watu walifuta kitambo
Main point CKU KAMA TATU ZILIZO PITA WATU WAMEKUTA PROFILE ZAO ZIMEANDIKWA TECHINICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY EDUCATION DURUTION 2 YRS TOFAUTI NA MWANZON NAOMBA KUFAHAMU ANAESOMA DIPLOMA NI NANI? NA TECHINICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY EDUCATION NI NANI? NA JE HUYO TECHINICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY EDUCATION AKIMALIZA 2 YRS ANAAJIRIWA AU AMALIZE DIPLOMA ASANTENI
 
Kama nitakua Sahihi basi nakumbuka Technician Certificate in Primary ilishapigwa stop anzia 2014 na badala yake Walimu wote wanatakiwa kusoma Ordinary Diploma in Primary Education.
 
Hii sio sahihi. Ile diploma ya pr education ni kitu tofauti kabisa na elimu iliyokuwa ikitolewa awali. Kwa sasa wameweka kuwa badala ya kusoma miaka mitatu unatakiwa usome miaka miwili ambayo ni technician certificate level 5 then wanakuoa ajira na kurudi kumalizia baadae. Wale wa zamani walikuwa wanasoma grade 3 A certificate ambayo sio equivalent na hii ya ssa. Naomba kuwakilisha
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom