Pivate School yenye masomo ya CBA

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,560
3,523
Ni imani yangu kuwa mko salama wakuu.

Ni kwamba nina mdogo wangu anasoma masomo ya Chemostry, Biology na Agriculture (CBA) katika shule moja ya serikali.
Nahitaji ahamie kwenye private school lakini hataki kubadilisha masomo yake.

Hivyo kama unaijua private school yenye masomo tajwa naomba unisaidie jina la hiyo shule na inapatikana wapi.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom