Nahitaji kujua nini kinafuata kwa sisi tulio apply chuo for degree

seyf22

Member
Aug 1, 2016
84
21
Jamani embu nielezeni kipi kinafuata kwa sisi tuliomaliza fom six na tukafaulu na tusha apply vyuo.

Nini kinafuata hapo mbele? Na ni kwa muda gani?

Tusaidiane jamani!
 
Watakaopata first round watatangwazwa Mara baada ya udahili kufungwa waliokosa wataomba tena
 
Jifunze kuandika vizuri.

Wengi kama si wote ndani ya JF wanazingatia hilo.

Isitoshe ili ni jukwaa la elimu.

Hivyo itendee vema elimu yako ya kidato cha sita walau kwa kunyoosha mwandiko.
SAWA NASHUKURU SANA..
 
Umeshamaliza kufanya application?? Kwa usahihi??Mwisho wa kufanya application ni lini?? Kama umefanya vizuri mtihani wako wa kidato cha sita na application umefanya kwa ufasaha wew tulia tu kila kitu huwa kinawekwa kwenye tovuti yao cha msingi uwe unaitembelea mara kwa mara............ au mdogo wangu una mzuka sana wa kwenda chuoni?? Yote kwa yote haitazidi mwezi wa kumi utakuwa chuo
 
icho nilikua sijajua apo fresh..!! mzuka lazima uepo siunajua tena
 
Poa haina noma but ujanisaidia bado..ujanijibu
Subiri mpaka muda wa kutuma maombi umalizike.

Baada ya hapo kutakuwa na chaguzi za wanafunzi kupelekwa vyuo husika walivyoomba(selection).
 
sawa..wanatoa.kabisa.na.majina waliopata mkopo au
 
Subiri mpaka muda wa kutuma maombi umalizike.

Baada ya hapo kutakuwa na chaguzi za wanafunzi kupelekwa vyuo husika walivyoomba(selection).
Nime muuliza deadline ya kufanya application ni lini hajanijibu...... ukijua tarehe ya mwisho ya kufanya udahili itakusaidia kubashiri muda wa selection kutoka
 
Back
Top Bottom