Msaada kulipia kwa M-pesa NACTE

Msaada kulipia kwa M-pesa NACTE

Katamya

Member
Joined
Dec 1, 2015
Posts
68
Reaction score
34
Wanajamvi naombeni msaada,
Nipo nalipia NACTE kupitia M-pesa ila nikifika sehemu moja inaniambia niingize namba ya akaunti. Hapo mbona sielewi?

Hiyo namba ya akaunt ni ipi? Msaada please nakimbizana na deadline hapa
 
Namba ya account ni 1234 Hiyo utajaza baada ya kujaza zile 607070
 
Back
Top Bottom