Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu Tumezoea kusikia ebay, alibaba/aliexpress, na amazon jee hamna tovuti nyingine ambazo tunaweza kufanya manunuzi onlinr Ningependa tuzifahamu na ambazo huwezi kulizwa na ambazo zinatuma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninachoamini ukiwa karibu na watu wenye Changamoto,naamini na wewe utapata changamoto na kujijenga ubaadae wako ila ukikaa kwa wapenda starehe nawe utapenda starehe sana Sina chochote cha...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Chunya, Nategemea kuanza kuotesha miti na maua kwa ajili ya biashara. Je, inaweza kuniletea tija? Pia ni vitu gani muhimu vya kuzingatia? NATEGEMEA MAWAZO YENU
0 Reactions
1 Replies
2K Views
(Bloomberg) -- Vodacom Group’s Tanzanian unit is considering asking market regulators to extend the deadline of its initial public offering and allow foreign participation because it’s...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wengi wana maswali ya ziada ni kwanini Bei ya hisa za Vodacom ni Shilingi 850 kwa kila hisa? Bei hii ya hisa ilifikiwa baada ya wakurugenzi wa Vodacom kuafikiana pamoja na mshauri mkuu kwa...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Salaam Wadau, Kwa wakandarasi wa wa Ujenzi daraja la kwanza hadi la saba ambao hawana wataalamu/utaalamu, napenda kuitambulisha kampuni yetu kuwa tuna wataalaamu wanaoweza kusimamia miradi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf. Wanajf, ninashida ya tsh 100,000 ya haraka sana Kama Kuna member anayeweza kunikopesha kwa riba mimi nipo tayari. Namba yangu 0689631083. Mungu awabariki.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Niliwayi kusema si kila mtu anapenda kujiajiri ila ni matokeo tu ndo usababisha watu na wasomi wanazuoni kuamu kujiajili. Ukitaka kujua hilo ebu angalia jinsi dunia ilivyo leo Wenje naye anaumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu wa Arusha/Moshi ningependa kuwafahamisha kuwa nafikiria kufungua ofisi mojawapo ya miji hiyo,mimi ni mchaga lakini nimeishi nje ya hiyo miji kwa muda mrefu sana, naombeni info kuhusu hali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau! Niliwahi kuandka hapa jukwaan kuelezea kuhusu kuhitaji mtu ambaye tunaweza anzisha tuition centre. Nimepata mtu lakini naona hayuko serious, kwa post hii naomba watu walio...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za leo wanajamvi. Nina malengo ya kuanzisha biashara ya kununua chuma chakavu na makopo ya plastic. Naomba mwenye uelewa wa hii biashara anisaidie mawazo yake na mchanganuo wa hii biashara...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
RevenueBrust.com - Earn 10$ Per Referral Link Visit ! Earn 2000$ monthly from home
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani, Ukiachana na hii rate ya saivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka Jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama inavyojieleza hapo jipatie nyumba ya vyumba vitano IPO Arusha ,field force . Kiwanja chake ni 20 kwa 20 unaweza pitia Ngusero au Field force . Serious buyer PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yanayoendelea kutokea ni muendelezo wa yale mliyoyanyamazia juu ya wengine kwa kipindi kirefu. Hakuna kitu kinachoota bila kupandwa mbegu yake, sasa hivi hii ni mbegu iliyokuwa imepandwa na ndio...
1 Reactions
2 Replies
775 Views
Myenye kufahami hii ya Biashara ya imekaaje?! Natafuta Mwekezaji (business partner) ambaye atapata faida ya laki 5(50%) baada ya kuwekeza Million 1 kwenye biashara yangu yenye leseni , TIN na...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Habarini wapendwa naomba kujua katika hizi siku kuu tajwa hapo juu mjasilia mali huwa anatumia njia gani kuuza bidhaa yake.Yaani awe na vigezo gani aingie ndani,asanten
1 Reactions
3 Replies
1K Views
ECONOMISTS wenzangu wa jukwaa letu pendwa la kiuchumi. Habari zenu wakuu ! CBA ndio uchumi wenyewe.. Naomba tushirikiane kwa wale wenye ujuzi zaidi jinsi ya kufanya cost and benefit analysis...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibuni Sana one2 one focus company Ltd tunajenga nyumba kwa bei nafuu Sana na kununua viwanja na kuuza viwanja kwa bei nafuu Sana pia tunafanya renovation na finish za nyumba (contact...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu. Nakuleteeni umuhimu wa kumiliki hii Card ya payoner ambayo ukisajiri leo utatumiwa kadi yak ndani ya wiki 3 kupitia njia ya posta,then utaverify kwa kuweka upya namba za siri ,utaweza...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Back
Top Bottom