Biashara ya Vyuma chakavu na makopo ya plastic!

Phinenicke

Member
Nov 21, 2014
15
3
Habari za leo wanajamvi.
Nina malengo ya kuanzisha biashara ya kununua chuma chakavu na makopo ya plastic. Naomba mwenye uelewa wa hii biashara anisaidie mawazo yake na mchanganuo wa hii biashara.
Nipo mbezi Luis Dar
 
Mimi nnachojua tu ni kwamba Plastiki ni Tsh 350 Kwa Kilo. ndio kuna sehemu wananunua hvyo. kuhusu vyuma chakavu sijawa na Uzoefu sana.
 
Back
Top Bottom