Labour Sub Contractors- Civil & Building Works Contractors

potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
539
493
Salaam Wadau,

Kwa wakandarasi wa wa Ujenzi daraja la kwanza hadi la saba ambao hawana wataalamu/utaalamu, napenda kuitambulisha kampuni yetu kuwa tuna wataalaamu wanaoweza kusimamia miradi ya ujenzi kama Site Engineers, Civil Technicians na Quantity Surveyors.

Wahandisi waliosajiliwa na board ya Uhandisi (ERB) na Quantityrs Surveyors waliosajiliwa.

Tunatoa huduma zifuatazo kwa maelewano ya gharama nafuu.

1. Site Management/ Site Manager/Site Engineer
2. Site Foreman/ CivilTechnicians
3. Skilled Labour/Masons, Steel fixers, Carpenters, Plumbers,Electricians etc
4. Structural Engineer/ Structural Design ( Incase of Design and Build Projects)
5. Quantity Surveyors/ Kuandaa madai(claim) ya mkandarasi kwa ajili ya malipo
6. Kuandaa working schedule kutumia MS Project
7. Kusimamia technical issues zinazojitokeza site
8. Kuandaa schedule of material

Tuwasiliane inbox kwa mawasiliano zaidi.

Eng.

Asante
 
Dah.... Sasa kitu gani kinawakwamisha kuwa main? Maana najua shida kubwa huwa ni list ya wapambanaji...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom