Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

plan to run business Arusha/Moshi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by rosemarie, Aug 22, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,687
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  wakuu wa Arusha/Moshi ningependa kuwafahamisha kuwa nafikiria kufungua ofisi mojawapo ya miji hiyo,mimi ni mchaga lakini nimeishi nje ya hiyo miji kwa muda mrefu sana,
  naombeni info kuhusu hali halisi ya kibiashara hapo,taarifa nilizo nazo ni kuwa wakenya ndo wamekamata maofisi mengi huko,ninategemea kuendesha biashara i ict,je biashara hiyo ikoje huko??je yawezekana???
   
Loading...