Wenye ujuzi wa kufanya cost benefit analyisis

khamsinda

Senior Member
Jul 26, 2016
107
71
ECONOMISTS wenzangu wa jukwaa letu pendwa la kiuchumi.
Habari zenu wakuu !
CBA ndio uchumi wenyewe..

Naomba tushirikiane kwa wale wenye ujuzi zaidi jinsi ya kufanya cost and benefit analysis katika projects mbalimbali na mifano zaidi...

Hii ni kwa ajili ya kuwa na wanauchumi imara Tanzania.

Karibuni wachumi tujifunze......
 
Back
Top Bottom