commernder
Member
- Mar 5, 2017
- 34
- 19
Habarini wapendwa naomba kujua katika hizi siku kuu tajwa hapo juu mjasilia mali huwa anatumia njia gani kuuza bidhaa yake.Yaani awe na vigezo gani aingie ndani,asanten
Hapa nasubiri wadau waje kutupa ufafanuziHabarini wapendwa naomba kujua katika hizi siku kuu tajwa hapo juu mjasilia mali huwa anatumia njia gani kuuza bidhaa yake.Yaani awe na vigezo gani aingie ndani,asanten
Asante nduguFika kwa wahusika wa uandaaji wa hayo maonesho kwa mkoa ulipo utapata maelekezo zaidi,huwa wako ndani ya eneo la nane nane wewe fika ulizia ofisi za wahusika wa uandaaji. Kwa sasa wameshaanza kugawa maeneo