Ukiondoa ebay, aliexpress na amazon kuna nyingine za kufanya manunuzi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Wakuu
Tumezoea kusikia ebay, alibaba/aliexpress, na amazon jee hamna tovuti nyingine ambazo tunaweza kufanya manunuzi onlinr
Ningependa tuzifahamu na ambazo huwezi kulizwa na ambazo zinatuma bidhaa kwa haraka
Ahsanteni
 
jumia/kaymu ... ndio, kwani nazo si unafanya manunuzi online au vipi wakuu??
 
Wakuu
Tumezoea kusikia ebay, alibaba/aliexpress, na amazon jee hamna tovuti nyingine ambazo tunaweza kufanya manunuzi onlinr
Ningependa tuzifahamu na ambazo huwezi kulizwa na ambazo zinatuma bidhaa kwa haraka
Ahsanteni
kuna mtandao unaitwa taobao nao unafanya online manunuzi
 
Wakuu
Tumezoea kusikia ebay, alibaba/aliexpress, na amazon jee hamna tovuti nyingine ambazo tunaweza kufanya manunuzi onlinr
Ningependa tuzifahamu na ambazo huwezi kulizwa na ambazo zinatuma bidhaa kwa haraka
Ahsanteni
  • chinavasion
  • bangood
  • gearbest
  • souq
upload_2017-4-15_18-0-25.png
 
exprience yako ni mtandao upi kwa hapa tz mzigo unafika haraka??
Kuwahi au kuchelewa ni uchaguzi wako katika shipping options zilizopo. Kuna option katika makundi matatu
(a) Express shipping - Huwa ni ndani ya siku 3 - 7 ( Bei huwa ni kati ya dola 15 hadi 40)
(b) Standard Shipping - Ndani ya siku 14 ( bei huwa kati ya dola 5 hadi 10)
(c) Economy shipping - hapa mizigo huchukua siku kuanzia 14 - 35 au zaidi ya hapo ( Huwa ni free shiiping au malipo kidogo chini ya dola 5)

Hizo bei ni kwa bidhaa chini ya 0.5kg

Ni vyema ufahamu kabisa njia ya kusafirishia unayoihitaji, kisha wasiliana na seller kabla ya kufanya malipo

Pitia comment no.15 kwenye hii link.
- Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
 
Back
Top Bottom