BIASHARA YA UOTESHAJI MITI

Edwin Peter Soloma

New Member
Apr 15, 2017
1
0
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Chunya,
Nategemea kuanza kuotesha miti na maua kwa ajili ya biashara. Je, inaweza kuniletea tija? Pia ni vitu gani muhimu vya kuzingatia?
NATEGEMEA MAWAZO YENU
 
Back
Top Bottom