Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Niliwahi kusoma juu ya hujuma za shirika la ndege la Afrika kusini kwa air Tanzania na ilivyopelekea kulidumaza kwa kuuza ndege zilizokuwepo kama chakavu na kuimalisha za kwao katika ardhi yetu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji95] Hivi kwanini ubaki ukinungunika juu ya ajira na Oriflame ipo kukupa fursa ya kujiajiri na kufanya biashara pamoja nayo? Usihofu kuhusu elimu yako kikubwa ni umri ambao ni miaka 18 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna makampuni ya kuuza na kusafirisha magari ambazo si maarufu kama zilivyo tradecarviews, beforward, sbt, autorec na zingine. Kampuni kama Japan Cars And Trucks Co., Ltd kwangu ni ngeni ila...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wakuu, kama kuna aliyewahi kununua kitu kwa masoko ya mtandaoni ya Tanzania atujuze, na ubora wao au udhaifu wao upo wapi!?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nataka kufungua chuo kwa ajili ya mafunzo ya kozi fupi(Certificate) zipi ni kozi zenye ajira kwa wingi. Naombeni ushaurii wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa zaidi ya wiki mbili hakuna network hivyo wanashindwa kusajili walipa kodi wapya wenyewe wana dai service provider wao ndio tatizo
0 Reactions
5 Replies
784 Views
Natarajia wiki ijayo nishuke na vito arusha tatizo pale pana madalali wengi matapeli je ni wapi au njia gani ya kwenda kwa mnunuzi moja kwa moja?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu, ningependa kupata kujua ni madini gani yanayouzika kwa haraka Dar kwa bei yenye tija. Ninauliza kwasababu jamaa yangu ana aina tofauti tofauti na ameniamini kwamba naweza kumsaidia kuuza...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari Wana JF, mimi napenda Sana na nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza laptops soon. Tatizo ni kwamba sina details za kutosha Kuhusu biashara hii kuanzia uagizaji, kodi na faida Pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini, Binafsi nina miliki biashara ambayo ipo very stable, ki ukweli nimetetereka kifedha nahitaji booster au fedha kiasi hata 1.5ml ingelitisha ili kuinyanyua na kupunguza baadhi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni mnipe angalau mfano wa taarifa ya makisio ya mapato na matumizi inayopelekwa TRA inavyokuwa na je huwenda kwa mda gani?
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Wadau napenda kujua wapi naweza kwenda kuuza hizi sarafu za mjerumani, na thamani yake ikoje
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wadau, Naomba mtu anayefahamu kiundani gharama za kuanzisha kituo cha Tv anifafanulie. kikubwa gharama za kununulia mitambo au jinsi ya kupata chanel kwenye vin'gamuzi ambavyo tayari vipo kama...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habar wana jf, Ningepend kufaamishwa iv ni benk gan hapa Tanzania, ina uhafueni katka kuhifadhi fedha, yan makato kidogo au km kuna isiyo na makato kabisa, naomb unifahamishe.. Nahtaj kufungua...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu wa nchi naombeni mwenye kujua ni kitu gani naweza kusafirisha kutoka Tanzania kwenda nchi za nje hasa Ulaya .USA.au bara la Asia .Msaada please.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair went upwards early last week, tested the resistance line at 1.0900 and then nosedived by almost 250 pips...
1 Reactions
0 Replies
523 Views
Nisaidieni wakuu nataka nijue hapo... Mfano kuunganisha pay pal account, kulipia amazon, Alibaba etc ni bank gani nzuri naweza kutumia kufanya haya mambo
1 Reactions
33 Replies
11K Views
Niliwaandikia email (sales@aluminiumafrica.com) hawa jamaa siku ya Ijumaa, 18 Januari 2013 nikitaka kujua bei ya Mabati ya "IT Maxcover" Gauge 28, kwa Mita moja ni kiasi gani? Lakini hadi leo hii...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom