Wandagara
Member
- Aug 4, 2016
- 70
- 39
Niliwayi kusema si kila mtu anapenda kujiajiri ila ni matokeo tu ndo usababisha watu na wasomi wanazuoni kuamu kujiajili. Ukitaka kujua hilo ebu angalia jinsi dunia ilivyo leo Wenje naye anaumia kukaa kitaa hadi inamlazimu kutumia mbinu za ziada kupata ajira. Leo anaomba nafasi ya ubunge wa Afrika mashariki sio kwamba anapenda ila tu ni tatizo la ajira lilivyo. Wengine wamekuwa hadi mawaziri bado wanataka waajiliwe. Lakini utakuta mijitu imekaa na kuwaponda vijana wanaotoka masomoni eti ni vilaaza je hao waliokuwemo kwenye kazidata za bunge nao mitajii hawana au?
Ninachojua wala swala hili la kujiajiri litakuja lenyewe bila hata kutumia nguvu yoyote kulitekeleza. Hata hayo mataifa ya ugaibuni nayo ilifika kipindi ajira zikawa janga lakini mda ulivyoendelea walijikuta mmoja baada ya mwingine wakipata mafanikio katika kujianjiri. Safi sana ajira