Natafuta future busness partners (age:19-27)

KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,520
2,816
Ninachoamini ukiwa karibu na watu wenye Changamoto,naamini na wewe utapata changamoto na kujijenga ubaadae wako ila ukikaa kwa wapenda starehe nawe utapenda starehe sana
Sina chochote cha kujivunia by now but i hop baadae kuwa the richest in Tanzania if God wishes, binafsi nina miaka 24

Conditions
1 uwe na upeo wa kufikiri vizuri
2 uwe na mipango ambayo ushaanza kuifanyia kazi
3 uwe active member wa jf na awe anacomments zisizopungua mia
4 uwe settled na usiwe ombaomba, maana the thing ni kujiendeleza sio kusaidiana kuishi
5 itakuwa cool kama umetembea miji mingi apa bongo au nje

Note: siangalii uzuri na ingekuwa cool kama kukiwa na wanawake pia
 
Business Partner?
Hiyo no 1 wewe mwenyewe hujakidhi.
namba 4 naona makorokocho
 
Kwani hiyo biashara inafanyikia humu JF? Kigezo cha comments 100 sijakielewa kabisa. Wakati wengine wanataka mtaji wewe unataka comments mkuu?
 
Ninachoamini ukiwa karibu na watu wenye Changamoto,naamini na wewe utapata changamoto na kujijenga ubaadae wako ila ukikaa kwa wapenda starehe nawe utapenda starehe sana
Sina chochote cha kujivunia by now but i hop baadae kuwa the richest in Tanzania if God wishes, binafsi nina miaka 24

Conditions
1 uwe na upeo wa kufikiri vizuri
2 uwe na mipango ambayo ushaanza kuifanyia kazi
3 uwe active member wa jf na awe anacomments zisizopungua mia
4 uwe settled na usiwe ombaomba, maana the thing ni kujiendeleza sio kusaidiana kuishi
5 itakuwa cool kama umetembea miji mingi apa bongo au nje

Note: siangalii uzuri na ingekuwa cool kama kukiwa na wanawake pia
Haijajitosheleza hii mkuu jaribu kureview tena na ufanye malekebisho kama upo serious kweli maana

(1) Requirements zako sizani kama zinauhusiano Kiasi cha 80% na business
(2) Na nivyema ungeainisha you need a business partner katika business gani ili mtu ajipime mwenyew je anaweza fit au lash
(3)Ungeacha namna ya kukupata au kutuma maombi kwa mtu ambaye anahitaji

Mi yangu ni ayo tu mkuu nikutakie kila raheli katika mpango wako kuwa serious mkuu ili usijipunguie credit
 
Back
Top Bottom