Habari Wana JF, mimi napenda Sana na nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza laptops soon. Tatizo ni kwamba sina details za kutosha Kuhusu biashara hii kuanzia uagizaji, kodi na faida Pamoja na...
Habarini,
Binafsi nina miliki biashara ambayo ipo very stable, ki ukweli nimetetereka kifedha nahitaji booster au fedha kiasi hata 1.5ml ingelitisha ili kuinyanyua na kupunguza baadhi ya...
Wadau,
Naomba mtu anayefahamu kiundani gharama za kuanzisha kituo cha Tv anifafanulie.
kikubwa gharama za kununulia mitambo au jinsi ya kupata chanel kwenye vin'gamuzi ambavyo tayari vipo kama...
Habar wana jf,
Ningepend kufaamishwa iv ni benk gan hapa Tanzania, ina uhafueni katka kuhifadhi fedha, yan makato kidogo au km kuna isiyo na makato kabisa, naomb unifahamishe.. Nahtaj kufungua...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair went upwards early last week, tested the resistance line at 1.0900 and then nosedived by almost 250 pips...
Nisaidieni wakuu nataka nijue hapo... Mfano kuunganisha pay pal account, kulipia amazon, Alibaba etc ni bank gani nzuri naweza kutumia kufanya haya mambo
Niliwaandikia email (sales@aluminiumafrica.com) hawa jamaa siku ya Ijumaa, 18 Januari 2013 nikitaka kujua bei ya Mabati ya "IT Maxcover" Gauge 28, kwa Mita moja ni kiasi gani? Lakini hadi leo hii...
Habarini ndugu zangu,mimi ni mwanamke ninayejihusisha na biashara ndogo ndogo,natamani niwe na ofisi yangu nijiajiri lakini sasa sina fedha za kutosha naomba kwa mtanzania anayeweza kunisaidia...
Jana ilikuwa tarehe ya mwisho ya kuhakiki TIN na wilaya niliyopo watu walikuwa wengi sana.
Je kuna mrejesho kuhusu muda kuongezwa?
Kwani nini zoezi hili lisiwe endelevu kwani katika ofisi nyingiza...
Habari zenu ndugu zangu,
Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA, kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja, sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake...
Geologist Abdul ambaye kafanya kazi Migodi ya ACACIA, Bulyanhulu, North Mara ambaye kwa sasa yuko Afrika ya Kusini kama mtaalamu wa makampuni ya huko aliulizwa maswali kuhusu ukweli wa hii sakata...
Habari za kazi wana JamiiForums,
Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.