Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

mambo vp jamaa naweza kupata ushauri kuhusu kufanya bishara ya kusafirisha kuku kama niko nje ya dsm, ikiwemo bei, namna za usafirishaji na gharama, maeneo naweza kupa soko na vingine kama utakua...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Makubaliano yaliyofikiwa kati ya Wizara ya Elimu na kampuni ya IBM katika kusukuma Elimu Kwa njia ya dijitali huenda yakaafikiwa baada ya kampuni ya vodacom kufanya uwekezaji katika kusambaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapoongelea mafanikio ni lazima uguse uchumi na unapogusa uchumi unaigusa serikali na mtu mmoja mmoja,hivyo suala la uchumi ni mtambuka sana lakini linasimamiwa na mipango thabiti, weka mipango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Kuna mtu kaniomba ushauri hapa, anahitaji kufungua acount, sasa kabla ajaingia mkenge,anahitaji kwanza nimpe nondo za kitaalamu khs bank rafiki kwa maskini...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu kama kilivyo kichwa cha habari nimefungua salon ya kiume hapa DSM maeneo ya DUCE sasa TRA kila wakipita inabidi tufunge, kwa anayejua hivi salon inaweza kuwa sh ngapi kwa mwaka? Mimi...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Miezi mitatu na nusu sasa inatosha kukupa picha ya muelekeo wa maisha yako kwa mwaka huu wa 2017. Hakuna siri wala huitaji nabii kukutabilia December mwaka huu itakuwaje, kama hautafanya kitu...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumeelezwa ujenzi wa reli mpya unakaribia kuanza kwa awamu yake ya kwanza kutokea Dar mpaka morogoro. katika hatua hii sisi wananchi kuna masali mengi inabidi tujiulize tunakoelekea ni wapi ili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauliza waungwana tusaidiane
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD managed to hold out its bullishness last week, in spite of the current short-tern consolidation in the market...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Natafuta business partner mkoa wa mbeya tupeane mawazo ya kuanzia biashara mkoani mbeya aliyemkoani mbeya.asanteni
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Mwongozo kamili wa Whatsapp kuendesha biashara. Je, wewe ni mfanya biashara wa kati au mdogo? Kama simu yako ina whatsapp unaweza kuitumia kuendesha biashara yako. Njia za kutumia Whatsapp...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi!? Wakati tukiingia katika karne ya 22 inayohusisha maendeleo ya sayansi na Teknolojia watanzania wamehamasishwa kuwekeza katika sekta ya sayansi na Teknolojia kwani ndipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kwa aliyeko dar, umri miak 24, mwenye ujuzi wa biashara, ambae yuko tayar kufanya kaz (kujiajiri) awasiliane nami inbox tufanye kaz na awe mwanamke
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina mpango wa kusajili kijigazeti ambacho nitaweza kushare na wenzangu kila asubuhi juu ya habari mpya na za zamani. Kwa kuwa humu JF ni jungu kuu, naombeni msaada wa hatua za...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi wanajamvi, Nina imani kuna wafanyakazi wenye ufahamu na jambo hili, Naombeni msaada wenu, Nataka kujua ni kiasi gani cha juu kabisa cha mkopo ambacho mfanyakazi anaweza kukopa...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Sielewi Prof. Ndulu na wengine wanaposema uchumi wetu unakuwa. Uchumi wetu unakuwa kivipi ilihali naona watu vijijini bado wako gizani, maji hawana, shule hazina vitabu, na bei ya bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam alaykum wapendwa.. naomba kwa yoyote ambae ana ujuzi wa kutumia amazon kama sehemu yake ya kununulia bidhaa kwa njia za mtandao anisaidie procedures zake na namna ya kufanya mzigo...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Tupeane tips za shares on what to buy what to sell and what to hold. Na hapa nazungumzia sharws za ndani na za nje ya nchi Let it begin...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Nahitaji msaada wa mawazo juu ya wazo la uanzishaji wa biashara ya duka la kuuza na kukodisha CD ikiwepo na tigo pesa lakini kuna jengo ambalo ni sehemu nzuri kufungua kitu kama shule ya watoto...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba maelezo ya kina kwa yeyote anaejua kuhusu hawa watu. asante sana tafadhali pakuwa kwanza kifungasho
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom