Business pertners

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,972
1,083
Myenye kufahami hii ya Biashara ya imekaaje?!

Natafuta Mwekezaji (business partner) ambaye atapata faida ya laki 5(50%) baada ya kuwekeza Million 1 kwenye biashara yangu yenye leseni , TIN na Ofisi . Tutasaini mkataba kwa mwanasheria.. Ili upate Maelezo(na video) , tuma neno KUWEKEZA kwenda +255 754 250 895(whatsapp tu).

Jamaa amenitumia hiyo SMS chana an anataka kutoe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom