Eliakim Lawrence
Member
- Feb 14, 2017
- 5
- 8
Yanayoendelea kutokea ni muendelezo wa yale mliyoyanyamazia juu ya wengine kwa kipindi kirefu.
Hakuna kitu kinachoota bila kupandwa mbegu yake, sasa hivi hii ni mbegu iliyokuwa imepandwa na ndio inaota sasa.