Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Nina gari coaster 26 , nataka kuingiza barabarani.
Naomba wazoefu nisaidieni nipeleke route IPI, ambayo nitaweza kufanya biashara.
Nilikua na wazo la kuipeleka Mbezi-Mlandizi, Ila baada ya utafiti inaonyesha njia INA magari mengi sana, wazo linalo nijia ni kurudi Mbezi- makumbusho via mawasiliano au Nyuki -bagamoyo-msata.
Kuna njia ambazo nimeambiwa huwezi pata leseni kama mhimbili -mbezi. naomba mnijuze.
Pia sina uelewa sana wa hizi route naomba watalaam mnishauri .
Asanteni sana.