maege
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 309
- 73
Jana nilikua nafuatilia mubashara hafla ya kutimiza miaka 50 ya uanzishwaji wa benki ya NBC, ukweli natoa pongezi za dhati kwa kufikia umri huo wa mtu mzima. Ushauri wangu ni kuendelea kufanya mambo yenu kama mliouanzisha mfumo wa kibenki hapa Tanzania.
lililonigusa zaidi ni swala lenu la kurudisha Gawio kwa serikali kiasi cha 1.1bil, kwa hali ya uchumi wa sasa ni hatua kubwa sana, matarajio yangu mtaendelea kutoa magawio kwa serikali kama mmiliki wa Hisa. mabenki mengine muige kutoka NBC na NMB pia walitoa that day kule Mtwara.
HAPPY BIRTHDADAY NBC BANK