Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,014
Nashukuru niliwahi leta uzi hapa wa kupewa ushauri wa biashara hii ya nafaka specificaly mahindi, mchele, maharage, i mean daily used stuffs na jamii nimefikia pazuri sana, kimtaji na kimkakati, ila nahitaji Mentor ambae amewahifanya hii biashara au anafanya ili anipe in & outs kwasababu mimi niko theoretical sana, am a mineral person huku sipajui sana, so naomba nisaidiwe.
Tafadhali ndugu zanguni.
Tafadhali ndugu zanguni.