Boresha biashara yako

lydiah

Senior Member
Sep 2, 2015
151
101
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi.


Sisi ni wataalamu kwenye swala zima la kusajili kampuni ya aina yoyote.Tunakamilisha taratibu zote kuanzia Name search,kuandaa MEMAT (yaani Memorandum and Articles of Association) pamoja na process zote za BRELA na ndani ya wiki moja tunakuletea Certificate of Incorporation popote ulipo.


Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi, wasiliana nasi na kwa pamoja tushirikiane kwa kutimiza ndoto zako.

Kama utakuwa na swali lolote basi usisite kuniuliza kwa njia ya whatsap, calls na sms 0768597186.
Au fika ofisin kwetu,

Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
0714061405
e.consult16@gmail.com.
 
Ungetaja na bei yenu ya consultant na gharama za kufungua kampuni na mihuri yote inakuaje?
 
Back
Top Bottom