Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,483
- 3,327
Bila shaka wajumbe wote mupo vizuri,
Niwaombe wote tulio na taarifa mbalimbali juu ya taasisi sinazo jishughulisha na uwekezaji wa fedha taslim ili kupata faida baada ya muda maalum, Niombe uwekezaji Huu usiwe ni wa HISA, sababu hisa zimeshaongelewa sana na tuna taarifa za kutosha. Tuwajuze wenzetu yafuatayo
1. Bank gani, inatoa riba kiasi gani baada ya muda gani,
2. Taasisi gani ya fedha inatoa riba kiasi gani ukiwekeza kwa muda gani
3. currently Government treasury Bond, wanatoa riba kiasi gani na kwa mda gani,
Mimi naamini wapo wenzetu ambao wanatafuta sehemu ya kuwekeza pesa zao angalau kupata faida kidogo baada ya muda Fulani kuliko kuweka fedha katika serving account ambayo kuna charges tofauti tofauti na hupati faida hata ukiiacha kwa muda Fulani, tena utakuta imepungua,
Mimi binafsi nilikua naweka hakiba katika Mpawa nikawa Napata gawio ila ni dogo sana, Wana JF fungukeni tusaidiane sio wote tunalima, tunafanya biashara wengine bado ni wafanyazi, hivyo msaada pekee ni kuwekeza ili baadae tuweze kupiga hatua kwa malengo ya baadae.
Note TAASISI ZOTE TUTAKAZO ZITAJA ZIWE ZIPO KISHERIA KWA USALAMA WA FEDHA ZETU.
Karibuni kwenye uzi huu kuna ambao watanufaika sana japo wengine hatutakua serious
WELCOME