Baada ya "wafanyakazi hewa" kupita Je, Mikopo itatolewa kwa wafanyakazi?

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
373
571
Nahitaji mkopo sana lakini mabenki mengi hayatoi mikopo toka mwanzoni mwa mwaka jana kutokana na vugu vugu la wafanyakazi hewa pengine na uchumu kuwa na msukosuko. Je kwa wale wahusika waliopo jikoni tutegemee nini. Je hali itaendelea ilivyo au tutegemee mazuri. Nawasilisha kwa wahusika.

N.B: CRB, NMB, NBC na nyingine nyingi zimesimamisha kabisa zoezi hili kwa ndani ila kwa nje ukiuliza wanakumbia matawi yao baadhi yanatoa ili hali hakuna tawi hata moja linalotoa mikopo.

Wengi tunamipango ya kujikwamua kiuchumi lakini kuna vizingiti vingi sana kweye serikali ya awamu ya tano. vingi sana na visivyokuwa na umuhimu hata kidogo.
 
Sio kweli Ndugu,mbona CRDB,NBC,hata EQUITY wanaendelea kutoa mikopo kama kawaida,jaribu kupita ukapate ufafanuzi zaidi.
Unataka Mkopo WA aina gani?
 
Sio kweli Ndugu,mbona CRDB,NBC,hata EQUITY wanaendelea kutoa mikopo kama kawaida,jaribu kupita ukapate ufafanuzi zaidi.
Unataka Mkopo WA aina gani?
CRDB baada ya tamko la raisi kuwa ifikapo tarehe kumi na tano wafanyakazi wwnye vyeti feki wajiondoe
na baada ya yale majina kusambaa WALISITISHA KUTOA MIKOPO.
 
Bank ambazo at least zina stability ya kutoa mikopo ni zile ambazo hazikua na salary deposit accounts ambazo zipo rooted from some government entities ambapo wateja wao walikua wanachukua mikopo kutokana na mishahara yao especially crdb, nmb, nbc etc.

Ni ukweli hizi banks zimepata hasara kutokana na issues za ghost workers na vyeti feki. It was the many the workers receiving salaries at the particular bank the more the deficit the bank encountered.
 
Back
Top Bottom