Chambusojunio1
Member
- Apr 11, 2017
- 46
- 16
Habari zenu ndugu zangu ,naomba kujulishwa ,nilikua nataka kuagiza gari kutoka japan lakini kwanza kabla ya yote nataka kujua ushuru wake ni kiasi gani ? Je wanahuduma hiyo katika website yao naweza kuangalia kabla ?