Hii ndo taasisi gani
Bank of AfricaHii ndo taasisi gani
Umeona eeh! Waaanza kukwambia bima ya mkopo, leta laki moja. Mara watakwambia loan processing fee leta laki mbili, na pia watakwambia document verification fee, weka elfu hamsini... Ukishapiga hapo ni sawa na rejesho la mwezi mmoja tayari wanakuwa washalila upfront... Ni uhuni tu...Kwa bank hakuna sanasana zipo ambazo zinakufanyia kiin macho kwamba utalipa chin ya 20% ila wakianza makato ni zaidi ya hiyo ishirini!
Hili la kiini macho linatawala sana,kuna scheme ya NSSF ilituingiza mkenge mkubwa, makato ni makubwa kuliko kawaida.Kwa bank hakuna sanasana zipo ambazo zinakufanyia kiin macho kwamba utalipa chin ya 20% ila wakianza makato ni zaidi ya hiyo ishirini!