Bei gani?Napenda kuipongeza kampuni ya SBT kwa kuanzisha serengeti light. Watanzania na wasio watanzania wamesubiri Sana kupata light beer yenye jina na asili ya kitanzania.
Bei gani?
Huku Kwetu haijafikaIko fresh sana, nimeijaribu jana...
Naimani itafika, vuta subira tu...Huku Kwetu haijafika
Unaposema Watanzania wamesubiri unamaanisha nini?Napenda kuipongeza kampuni ya SBL kwa kuanzisha serengeti light. Watanzania na wasio watanzania wamesubiri Sana kupata light beer yenye jina na asili ya kitanzania. Huo Ni ubunifu mzuri wa kibiashara.
Ndovu siyo light beer, ilikuwa light zamani, lakini walipobadilsha chupa waliongeza na % ya alcohol.Unaposema Watanzania wamesubiri unamaanisha nini?
Je Ndovu ni jina la Msumbiji?
Brand kongwe sana. Nikiwa mdogo nikavizia mshua katoka nikajaribu kuonja, klorokwin ilikuwa ina afadhali.
Nadhani kuna sehemu tunapishana, hiyo "light" kwenye bia ya serengeti ambayo haipo kwenye Ndovu ni rangi, contents au kiasi cha kikevi?Ndovu siyo light beer, ilikuwa light zamani, lakini walipobadilsha chupa waliongeza na % ya alcohol.
Light beer ni % ya alcohol, kwa sababu ingekuwa ni chupa au amount, Serengeti ndogo imekuwepo muda mrefu Sana.Nadhani kuna sehemu tunapishana, hiyo "light" kwenye bia ya serengeti ambayo haipo kwenye Ndovu ni rangi, contents au kiasi cha kikevi?
Na je windock na Heineken ni lite au light?
Salamu zao Facebook pub, tweeter na Brazil..
Kwa kukusaidia haraka haraka, huwenda ni mnywaji wa bia ila hujui unachokunywa kina nini?Light beer ni % ya alcohol, kwa sababu ingekuwa ni chupa au amount, Serengeti ndogo imekuwepo muda mrefu Sana.
Kinywaji kinaweza kuwa lite na sio (light yako hiyo) na bado kikawa na kiasi kikubwa cha kikevi (% of alcohol)Light beer ni % ya alcohol, kwa sababu ingekuwa ni chupa au amount, Serengeti ndogo imekuwepo muda mrefu Sana.
Mkuu jana ulikuepo pale Serena? Mbona sijakuonaIko fresh sana, nimeijaribu jana...