Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

Alpha M

Senior Member
Nov 8, 2016
165
156
Habari za jioni mtanzania mwenzangu, poleni kwa majikumu.

Kwa kuanza kabisa, inabidi tukumbushane kwamba benki za biashara ni vilainishi katika ukuaji wa uchumi duniani kote. Mfumo mbovu wa benki hizo unaweza sababisha "economic depression",mfano mzuri ni ule wa Marekani mwisho wa mwaka 2007. Kwa afupi, benki za biashara zilitoa mikopo mingi ya nyumba ambayo haiwezi kulipika. Wananchi walijipatia nyumba mathalani vipato vyao haviwezi kulipa mikopo hiyo.

Kwetu hapa Tanzania, mnamo mwezi aprili benki kuu ilishusha "minimum reserve requirement" kiwango cha chini kinachotakiwa kubaki benki baada ya kutengeneza mikopo. Mfano "minimum reserve requirement" ya asilimia 10 katika kila Tzs. 10,000/- inamaana Tsh. 1,000 inabaki katika shelfu za benki bali zile Tzs. 9,000/- zinakua mikopo kwa wanaohitaji.

Faida ya mbinu hii ni kutengeneza mikopo ili kusaidia wawekezaji kuongeza uzalishaji. Shida yake ni kwamba, kiasi kinachobaki benki ambacho wateja wanawezatoa kupitia ATM na kadhalika kinapungua.

Tatizo hili lipo mpaka sasa ambapo mabenki mengi wanalalamika hawana pesa. Na sababu haswa ni kwamba mikopo iliyopo hailipwi itakiwavyo, ndiyo maana tunasikia makampuni kufungwa na kufilisiwa.

Kitu cha ajabu zaidi, BOT(Benki Kuu ya Tanzania) imeshusha "minimum reserve requirement" kutoka 10% hadi 8% aprili mwaka huu ili kuongeza mikopo kwa kufumba macho mikopo iliyopo haifanyi vizuri (hailipwi kwa wakati). Hii inarudisha nyuma mfumo huuhuu ambapo mnamo 2015 walipandisha "minimum reserve requirement" kutoka 8% hadi 10% ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kwa kiasi fulani walifanikiwa kushusha mfumuko wa bei mwishoni mwa 2015 mpaka katikati 2016 ndipo uchumi ukaanza kuzorota.

Wakati mwingine wanaweza sema mikopo nafuu ambayo ndio sababu kuu ya kushusha asilimia hizo mbili, lakini tatizo sio mikopo ya bei rahisi. Tatizo lipo kwa fedha zilizopo mifukuni mwa watu zinazowawezesha kununua bidhaa. Hapa Benki kuu imeingia chaka.

Tutegemee nini labda? Haya ni maoni binafsi kama mwanafunzi wa uchumi.

1. Mabenki zaidi kufungwa; mikopo inapokua hailipwi kwa muda sababu ya riba kuwa kubwa, haitakiwi utengeneze mingine ya bei rahisi bali utengeneze mazingira ya biashara kuwa mazuri.

2. Uchumi kushuka zaidi. Hapa naongelea uzalishaji na mauzo, wafanyabiashara wote huuza na kuzalisha kulingana na mahitaji. Tatizo lililopo la ukosefu wa pesa na mfumuko wa bei haliwezi tatuliwa na mishahara itakayoletwa na mikopo hii mipya ya bei rahisi. Kama wateja hawana fedha za kununua bidhaa, mauzo yatashuka na uzalishaji kudoda.

Nini kifanyike? BOT itafute namna ya kurudisha pesa mikoni mwa watu.
 
Vyanzo vingi vya kipato vimeasiriwa sana, kwa iyo kunaitajika kuwe na watu wapya ambao watajiingiza katika mzunguko wa fedha. Maana waliokuwepo katika mzunguko wa kipindi cha Kikwete wengi awatakubaliana na mwenendo wa biashara kwa sasa
 
Unatokea kwenye kundi lile lile LA Pr. Lipumba
Lipumba ni mwanauchumi zaidi ya mwanasiasa.
IMG_20170510_192947.jpeg
 
Vyanzo vingi vya kipato vimeasiriwa sana, kwa iyo kunaitajika kuwe na watu wapya ambao watajiingiza katika mzunguko wa fedha. Maana waliokuwepo katika mzunguko wa kipindi cha Kikwete wengi awatakubaliana na mwenendo wa biashara kwa sasa
Nakubaliana na wewe, awamu ya nne ilitengeneza watu wa tabaka la juu wengi. Hawa wakikiamua kuficha fedha zao ndani au kupeleka nje tutaumia zaidi. Inawezekana wao ndio sababu ya kukosekana kwa fedha kwa upande fulani, maana biashara haziwaendei vizuri.
 
Economic update ya World Bank kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania ya mwaka huu inaonyesha mixed performance ktk banks. Baadhi ya banks zimefanya vizuri, na nyingine zimeambulia hasara. Isitoshe, tayari benki nyingi zimeanza kubana utoaji wa mikopo; nadhani wamejifunza kutokana na makosa tayari. Kwahiyo huko kuporomoka uchumi kutokana na non-performing loans sidhani kama ni uhalisia kwa sasa.

Ikumbukwe pia kwamba banks zimewekeza sana kwenye high-yield bonds za serikali. Kwahiyo zina mahali pa kuegemea in case wakopaji walalahoi wakishindwa kulipa mikopo.

Tatizo la uchumi wetu lipo zaidi kwa maskini mwananchi wa kawaida. Huyo ndiye maisha yake bado yaleyale ya enzi za Nyerere kimsingi. Lakini serikali, big investors, hali yao siyo mbaya sana. The GDP is growing at a good rate, and many big companies are still in a relatively good position.
 
Yaani Mods wameshindwa kurekebisha hicho kiswahili kibovu kwenye title.!!?
 
Mkuu kwa Radama ya mwaka huu wa fedha mpaka mwezi wa pili au tatu ni asilimia 34% ya fedha za maendeleo zilizopatika. Hapa miradi mipya ni midogo sana. Ya ndege?? Tunahitaji fiscal policy measure kuongezwa kwa miradi ya maendeleo na kutoa ajira. Hii itasaidia kuongeza fedha ktk mzunguko. Serikali hatua ilizofanya hadi sasa inatosha (Reduction of Money Supply in the economy). Na radama ijayo iwe na uhalisia.
 
Habari za jioni mtanzania mwenzangu, poleni kwa majikumu.

Kwa kuanza kabisa, inabidi tukumbushane kwamba benki za biashara ni vilainishi katika ukuaji wa uchumi duniani kote. Mfumo mbovu wa benki hizo unaweza sababisha "economic depression",mfano mzuri ni ule wa Marekani mwisho wa mwaka 2007. Kwa afupi, benki za biashara zilitoa mikopo mingi ya nyumba ambayo haiwezi kulipika. Wananchi walijipatia nyumba mathalani vipato vyao haviwezi kulipa mikopo hiyo.

Kwetu hapa Tanzania, mnamo mwezi aprili benki kuu ilishusha "minimum reserve requirement" kiwango cha chini kinachotakiwa kubaki benki baada ya kutengeneza mikopo. Mfano "minimum reserve requirement" ya asilimia 10 katika kila Tzs. 10,000/- inamaana Tsh. 1,000 inabaki katika shelfu za benki bali zile Tzs. 9,000/- zinakua mikopo kwa wanaohitaji.

Faida ya mbinu hii ni kutengeneza mikopo ili kusaidia wawekezaji kuongeza uzalishaji. Shida yake ni kwamba, kiasi kinachobaki benki ambacho wateja wanawezatoa kupitia ATM na kadhalika kinapungua.

Tatizo hili lipo mpaka sasa ambapo mabenki mengi wanalalamika hawana pesa. Na sababu haswa ni kwamba mikopo iliyopo hailipwi itakiwavyo, ndiyo maana tunasikia makampuni kufungwa na kufilisiwa.

Kitu cha ajabu zaidi, BOT(Benki Kuu ya Tanzania) imeshusha "minimum reserve requirement" kutoka 10% hadi 8% aprili mwaka huu ili kuongeza mikopo kwa kufumba macho mikopo iliyopo haifanyi vizuri (hailipwi kwa wakati). Hii inarudisha nyuma mfumo huuhuu ambapo mnamo 2015 walipandisha "minimum reserve requirement" kutoka 8% hadi 10% ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kwa kiasi fulani walifanikiwa kushusha mfumuko wa bei mwishoni mwa 2015 mpaka katikati 2016 ndipo uchumi ukaanza kuzorota.

Wakati mwingine wanaweza sema mikopo nafuu ambayo ndio sababu kuu ya kushusha asilimia hizo mbili, lakini tatizo sio mikopo ya bei rahisi. Tatizo lipo kwa fedha zilizopo mifukuni mwa watu zinazowawezesha kununua bidhaa. Hapa Benki kuu imeingia chaka.

Tutegemee nini labda? Haya ni maoni binafsi kama mwanafunzi wa uchumi.

1. Mabenki zaidi kufungwa; mikopo inapokua hailipwi kwa muda sababu ya riba kuwa kubwa, haitakiwi utengeneze mingine ya bei rahisi bali utengeneze mazingira ya biashara kuwa mazuri.

2. Uchumi kushuka zaidi. Hapa naongelea uzalishaji na mauzo, wafanyabiashara wote huuza na kuzalisha kulingana na mahitaji. Tatizo lililopo la ukosefu wa pesa na mfumuko wa bei haliwezi tatuliwa na mishahara itakayoletwa na mikopo hii mipya ya bei rahisi. Kama wateja hawana fedha za kununua bidhaa, mauzo yatashuka na uzalishaji kudoda.

Nini kifanyike? BOT itafute namna ya kurudisha pesa mikoni mwa watu.
kuna tatizo kubwa katika usimamiaji wa uchumi ktk awamu hii. Mm ni mtetezi mkubwa wa awamu hii lakini katika usimamizi wa uchumi kuna shida kubwa, sekta binafsi na biashara ndio engine ya ukuaji wa uchumi. Lakini awamu hii imewafanya wafanya biashara au watu wanaojaribu kuingia kwenye biashara kama ni wapiga dili na wakwepa kodi. Hakuna mazingira rafiki ya utozaji kodi kwa wajasiriamali wazawa. Kama kampuni toka nje wanapewa msamaha wa kutotozwa kodi kwa miaka kadhaa wanapoanza uwekezaji na uendeshaji kwann wazawa hawapewi huu upendeleo?
 
Habari za jioni mtanzania mwenzangu, poleni kwa majikumu.

Kwa kuanza kabisa, inabidi tukumbushane kwamba benki za biashara ni vilainishi katika ukuaji wa uchumi duniani kote. Mfumo mbovu wa benki hizo unaweza sababisha "economic depression",mfano mzuri ni ule wa Marekani mwisho wa mwaka 2007. Kwa afupi, benki za biashara zilitoa mikopo mingi ya nyumba ambayo haiwezi kulipika. Wananchi walijipatia nyumba mathalani vipato vyao haviwezi kulipa mikopo hiyo.

Kwetu hapa Tanzania, mnamo mwezi aprili benki kuu ilishusha "minimum reserve requirement" kiwango cha chini kinachotakiwa kubaki benki baada ya kutengeneza mikopo. Mfano "minimum reserve requirement" ya asilimia 10 katika kila Tzs. 10,000/- inamaana Tsh. 1,000 inabaki katika shelfu za benki bali zile Tzs. 9,000/- zinakua mikopo kwa wanaohitaji.

Faida ya mbinu hii ni kutengeneza mikopo ili kusaidia wawekezaji kuongeza uzalishaji. Shida yake ni kwamba, kiasi kinachobaki benki ambacho wateja wanawezatoa kupitia ATM na kadhalika kinapungua.

Tatizo hili lipo mpaka sasa ambapo mabenki mengi wanalalamika hawana pesa. Na sababu haswa ni kwamba mikopo iliyopo hailipwi itakiwavyo, ndiyo maana tunasikia makampuni kufungwa na kufilisiwa.

Kitu cha ajabu zaidi, BOT(Benki Kuu ya Tanzania) imeshusha "minimum reserve requirement" kutoka 10% hadi 8% aprili mwaka huu ili kuongeza mikopo kwa kufumba macho mikopo iliyopo haifanyi vizuri (hailipwi kwa wakati). Hii inarudisha nyuma mfumo huuhuu ambapo mnamo 2015 walipandisha "minimum reserve requirement" kutoka 8% hadi 10% ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kwa kiasi fulani walifanikiwa kushusha mfumuko wa bei mwishoni mwa 2015 mpaka katikati 2016 ndipo uchumi ukaanza kuzorota.

Wakati mwingine wanaweza sema mikopo nafuu ambayo ndio sababu kuu ya kushusha asilimia hizo mbili, lakini tatizo sio mikopo ya bei rahisi. Tatizo lipo kwa fedha zilizopo mifukuni mwa watu zinazowawezesha kununua bidhaa. Hapa Benki kuu imeingia chaka.

Tutegemee nini labda? Haya ni maoni binafsi kama mwanafunzi wa uchumi.

1. Mabenki zaidi kufungwa; mikopo inapokua hailipwi kwa muda sababu ya riba kuwa kubwa, haitakiwi utengeneze mingine ya bei rahisi bali utengeneze mazingira ya biashara kuwa mazuri.

2. Uchumi kushuka zaidi. Hapa naongelea uzalishaji na mauzo, wafanyabiashara wote huuza na kuzalisha kulingana na mahitaji. Tatizo lililopo la ukosefu wa pesa na mfumuko wa bei haliwezi tatuliwa na mishahara itakayoletwa na mikopo hii mipya ya bei rahisi. Kama wateja hawana fedha za kununua bidhaa, mauzo yatashuka na uzalishaji kudoda.

Nini kifanyike? BOT itafute namna ya kurudisha pesa mikoni mwa watu.
Labda uchumi wako binafsi ndio unaporomoka. Hiyo benki iliyofilisika unaijua vizuri na unajua kwanini imeanguka??? sio kila jambo huwa linawekwa hadharani - ila tambua kwamba mabenki mengine yanaanguka kutokana na maovu yao wenyewe.
 
Ndio ume comment nini sasa hiki!?

Si bora ungeacha tu kama huna unachokijua kuliko kuleta kinyesi tu hapa kwenye screen za watu.

Bwege kweli wewe.
 
Hutanielewa... Ila nilichoandika hapo WAHUSIKA wanakielewa ... Kwako ni ngumu kunielewa, nimeandika kwa ufupi sana ila nina details but sitakwambia
 
Vyanzo vingi vya kipato vimeasiriwa sana, kwa iyo kunaitajika kuwe na watu wapya ambao watajiingiza katika mzunguko wa fedha. Maana waliokuwepo katika mzunguko wa kipindi cha Kikwete wengi awatakubaliana na mwenendo wa biashara kwa sasa
Kwanini wakubaliane wakati walikuwa corrupt na tax evaders
 
Banking system ya Tanzania tayari ina instability na ndio hali hii sio ya kuondoka Leo wala kesho. Ni rahisi sana kuchokoza system ya kibenk na ukaona outcomes zake muda huo huo lakini ni ngumu sana kuirudisha kwenye initial condition kwa muda mfupi.

BOT walivyotoa agizo kuwa bank zote za kibiashara ziongeze reserve pasipokuangalia possible out come kwenye money supply in long run walikuwa wanajikaanga wao wenyewe na uchumi wa bongo kwa ujumla. Hauwezi ukaamrisha tu watu wafanye deposits pasipo kufanya consideration kwenye extra reserve huku ukiwafikiria wateja wao wanaokuja kuchukua mikopo.

Money supply decreasing ndio chanzo cha yote haya ambayo ndio imesababisha BOT nao wana haha sababu monetary base haiko ni positive dimension kama ilivyokuwa awali. Tena sasa hivi hata reserve requirement rate ilitakiwa iwe zaidi ya 10% hili kuwapa encourage mabenki watoe mikopo yenye unafuu sababu hata wakopaji wenyewe hawapo siku hizi.

Yote haya yamesababishwa na mjuaji mmoja asiyejua lolote lakini ana nguvu.
 
Hutanielewa... Ila nilichoandika hapo WAHUSIKA wanakielewa ... Kwako ni ngumu kunielewa, nimeandika kwa ufupi sana ila nina details but sitakwambia

Nadhani Akili yako haiko sawa. Badala ya kujibu hoja wewe ume resort to insults na vijembe
Hivi ulikisoma hata ulichokiandika ukakielewa bwege wewe!?

Unaandika kwa kifupi wakati huo mada ina maelezo marefu yakujitosheleza, hiyo tabia ya kivivu kivivu ya kuandika kwa kifupi iishie huko huko kwa mkeo mkiwa mnachati nae huko.

Sasa kama una details kwanini usiweke hili kuthibitisha madai yaleta mada ni batili.!? Jinga kweli wewe.

Kwani mimi nimekulazimisha uniambie kama au nimekuonyesha ubashite wako?

Kama akili yangu haiko sawa basi ya kwako ina hitaji kusuguliwa na steel wire sababu ina kutu..
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Heri Mtu Yule Atakaye Kupuuza. Asante
 
Economic update ya World Bank kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania ya mwaka huu inaonyesha mixed performance ktk banks. Baadhi ya banks zimefanya vizuri, na nyingine zimeambulia hasara. Isitoshe, tayari benki nyingi zimeanza kubana utoaji wa mikopo; nadhani wamejifunza kutokana na makosa tayari. Kwahiyo huko kuporomoka uchumi kutokana na non-performing loans sidhani kama ni uhalisia kwa sasa.

Ikumbukwe pia kwamba banks zimewekeza sana kwenye high-yield bonds za serikali. Kwahiyo zina mahali pa kuegemea in case wakopaji walalahoi wakishindwa kulipa mikopo.

Tatizo la uchumi wetu lipo zaidi kwa maskini mwananchi wa kawaida. Huyo ndiye maisha yake bado yaleyale ya enzi za Nyerere kimsingi. Lakini serikali, big investors, hali yao siyo mbaya sana. The GDP is growing at a good rate, and many big companies are still in a relatively good position.
Kama una fahamiana na watumishi wa Benki zetu hizi za biashara labda uanze kuwauliza vizuri. Binafsi ninafahamiana na mameneja kadhaa wa benki tofauti. Ukiwauliza "financial standing point" yao muda huu watakuambia sio imara kama ilivyokua miaka miwili au mitatu nyuma.

Commercial banks ni wafanya biashara, na siku zote biashara zenye "high risk" zinakuza kampuni ila zile "low risk" kama government bonds zinaipa msingi mzuri kwa baadae.

World Bank wametoa taarifa zao, ila kwa hali hii tupeane miezi sita tu ATM kiwango cha kutoa pesa kitashuka kwa kiasi kikubwa. Usishangae kutangaziwa mwisho wa kiasi kutolewa unarudi 1M au laki 4 tu kwa siku, ukihitaji zaidi unaenda ndani kuhojiwa. Na maana ya kuhojiwa hapa ni kukubembeleza usitoe pesa bali ufanye "transactions" hizo ulizodhamiria kwa mfumo wa cheque au bank transfer. Hii itawasaidia wao kubaki na fedha katika shelf zao ila wanaohitaji kidogokidogo wapate zikiwepo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Economic update ya World Bank kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania ya mwaka huu inaonyesha mixed performance ktk banks. Baadhi ya banks zimefanya vizuri, na nyingine zimeambulia hasara. Isitoshe, tayari benki nyingi zimeanza kubana utoaji wa mikopo; nadhani wamejifunza kutokana na makosa tayari. Kwahiyo huko kuporomoka uchumi kutokana na non-performing loans sidhani kama ni uhalisia kwa sasa.

Ikumbukwe pia kwamba banks zimewekeza sana kwenye high-yield bonds za serikali. Kwahiyo zina mahali pa kuegemea in case wakopaji walalahoi wakishindwa kulipa mikopo.

Tatizo la uchumi wetu lipo zaidi kwa maskini mwananchi wa kawaida. Huyo ndiye maisha yake bado yaleyale ya enzi za Nyerere kimsingi. Lakini serikali, big investors, hali yao siyo mbaya sana. The GDP is growing at a good rate, and many big companies are still in a relatively good position.
IMG_20170510_192947.jpeg

Naomba usome vizuri kwenye hii picha, mwanzo BOT iliagiza kupunguza mikopo halafu baadae inawapa incentive za kuongeza mikopo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom