tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
too bad mkuu pole sana, nadhani mindset zao bado zina mucus nzito, haiwezekani mzalendo kuonesha ulimwengu khs tz then walete vikwazoTz kuna shida tupu mi nmewahi kuwa na page insta nilikuwa nahamasisha utalii kwa kujitolea bila kulipwa ya yeyote bcoz napenda sana hii kazi. acc ilikuwa na followers kibao kuna afisa mmoja wa TTB alifuata DM na kunipiga biti nikashindwa kuelewa kosa langu.
Nikamua kuwa nadonyoa donyoa siendi front sana mana imekuwa vita
wanahitaji kupata elimu ya kutosha sikuweza kumjibu bahati mbaya nilifuta ile sms ningeambatanisha hapa alinivunja nguvu sana.too bad mkuu pole sana, nadhani mindset zao bado zina mucus nzito, haiwezekani mzalendo kuonesha ulimwengu khs tz then walete vikwazo