Faida za FIXED ACCOUNT

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
592
ndugu zang JF,

Naomba nipate malezo juu ya mambo haya:
1.maana ya fixed account
2.faida zake ni zipi ?
3.je hiyo faida hupatikanaje ?

kwa mifano itakua poa zaidi.
 
Ni account ya muda maalumu either miezi mitatu,sita au mwaka.Ambapo unaweka kiasi chochote kisichopungua milioni moja na huwezi kuongeza wala kupunguza baada ya kudeposit.km riba hazijabadilika basi utapata faida ambayo Mara ya mwisho nakumbuka ilikua ni 3% ya pesa uloweka ktk mwaka.ikitokea unataka kutoa ile pesa kabla ya muda kufika basi utagawana kiasi cha faida na benki so faida itakua chini ya riba husika.
 
Back
Top Bottom