wisdom empire
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 337
- 288
Habari zenu ndugu zangu, Nimefikilia kujiajili kwa kufanya uwakala wa crdb lakini bado natafuta information muhimu zitakazo nisaidia ktk biashara yangu mpya maana bado sijawa na uzoefu.Naomba kwa yeyote aliye na idea juu ya biashara hii kama vile vigezo vinavyoitajika na bank, kiasi cha mtaji kinachohitajika, makadilio ya faida kwa mwezi ,changamoto au kitu kingine chochote kinachohusiana na biashara hii naomba mchango wake.