Habarini wanajukwaa?
kwa wale wakatoliki hii itatugusa zaidi.
Ni ukweli usiopingika kwamba hii radio station inayoitwa Radio Maria inafanya kazi kubwa kuinjilisha kwa njia mbali mbali kama...
Tulimtukana sana Mwijage kuhusu kauli yake ya kuhamasisha kuwa kiwanda ni hata pale unapokuwa na vyerehani vinne.
Katika pitapita yangu kwenye mtandao nimekutana na kampuni au kiwanda kilichoanza...
Habari Wanajukwaa:
Kwa Wale Wadogo Zangu Mliochaguliwa Vyuo Vya Afya Hasa Diploma ( Clinical Medicine, Pharmacy & Nursing)
Kuna Hii Biashara Ya Vifaa Vya Hospital Vya Mwanafunzi ( Vital Sign...
Moja ya Chalange inayo tukabili wajasiriamali wa bongo ni kuto ku heshimu dream zetu.
Kila mmoja najua ana dream au Idea yake ambayo angetamani kuitekeleza kabla hajafa.
Ila tatizo ni pale mtu...
Wadau naomba kuuliza hii taasisi ya PRIDE imefilisika? Nauliza haya kwasababu siku hizi wamekuwa wakisua sua sana kukopesha Pesa. Inafikia kipindi hadi mkopoji had I wa tsh300000 inawachukuwa...
Naskia kuna baadhi ya biashara ukitoa zanzibar kuleta bongoland..zinalipa saana...n pia kuna biashara ukitoa bongoland kupeleka zanzbr kuna faidaa...ninaomba kujuzwa juu ya hilii kwa yeyote...
Wakuu kuna clip nimeiona whatsapp inasambaa ambapo yule mzee Simbeye mwenyekiti wa sekta binafsi anaongea kwamba tarehe 13 october kuna nafasi za kwenda China kuangalia fursa za viwanda ambapo...
Kwa kufanya BOOKING ya uhakika kwa usafiri wa barabarani kutoka Mwanza kwenda mikoa mingine nda ya Tanzania...
Andaa siti yako mapema kwa kuchagua aina ya gari ulipendalo..
Kwa mawasiliano...
wadau naomba kuuliza. mimi nina biashara ya salon ya kiume 'barber shop' ambayo nina TIN number iliyoandikwa kwa jina langu na jina la hiyo salon, ila hivi sasa ninataka niongeze salon ya pili...
TRA nawakumbusha tu, mko busy kukusanya mapato kwa wafanya biashara wanaopata faida kidogo kwa mwezi, wafanyakazi wa uma wenye vipato hadi laki 300 kwa mwezi mnawakata.
Lakini msanii anapata...
Amani iwe kwenu wanaJF
Katika pitapita zangu mitandaoni hivi majuzi nimekutana na huu uwekezaji mpya kwa jina la D9 CLUBE SPORTS TRADING
Kwa maelezo yao wanajihusisha na biashara ya michezo na...
Wapendwa ningependa kufaham kuhusu watu wanaofanya biashara kama distributors wa makampuni ya vinywaji kama vile cocacola, pepsi and the like, kuwa;
1. Wanafaidikaje?
2. Risks zilizopo kwenye hiyo...
za saa hizi wapendwa,,jamani naombeni msaada..mimi ni msichana naependa sana ujasiriamali tatizo langu ni mtaji..nina idea kibao kuna kusafirisha culture nje,kuna kufungua biashara ya pop corn...
Habari,
Hivi karibuni nimekua najipanga kuingia kibiashara ya usafirishaji kwa maana kununua Noah na kuitumia kutengeneza kipato cha ziada pamoja na kumtoa dogo mtaani bila ya lakufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.