Kwanini NHC Hawajawekeza Miradi Mikubwa Mbeya?

Nkamu

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
226
91
Habari zenu wanajf?

Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu kwa shirika letu la nyumba NHC. Tangu menejimenti mpya ya akina Mchechu na wenzake ianze kufanya kazi; tumeona mabadiliko makubwa katika utendaji wa shirika hilo, kitu ambacho hakijawahi tokea tangu kuanzishwa kwake.

Kitu kinachnitatiza ni kuona NHC ikiwekeza katika miradi mingi sehemu mbalimbali nchini; lakini sijasikia mradi wowote katika jiji la Mbeya. Kuna tatizo gani kisiasa, kiuchumi au kijamii linalosababisha Mbeya kuachwa katika maendeleo hayo??

Mwenye maoni, majibu au ushauri anakaribishwa.

Karibuni!
 
KILA SHIRIKA LINA MIPANGO NA TARATIBU ZAKE,NI MUDA TU MKUU WATAFIKA PIA
 
Back
Top Bottom