Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,183
- 259
Ndugu habari ya asubuhi,
naomba kujua kama jina la biashara lina linaimplication katika usajili wa jina la kampuni. Nilisajili jina la bashara sasa nataka kuanzisha kampuni. nimelogin kwenye system za Brela kwa ajili ya name clearance (same same as the one i registered under business name, not company name) nimeambiwa name exist. sijajua kama lile jina la biashara limekuwa na mchango so that i can decide upgrade business name kuwa kampuni.
majina yako hivi
XYXY Shopping Center (business name)
XYXY Investment Tanzania Ltd (prospective company name)
thanks