Tafakari

Dr leader

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
797
896
Kutoka kwa
Abuu Abdillah
Tafakari:::
Tafakari tena tafakari kwa sababu Umri haurudi unazidi kusonga mbele Leo unamuongelea Ronaldo kuwa na miaka 30 kumiliki utajiri mkubwa hata ww ni wazi kwamba ulimtambua yeye mda mchache uliopita(miaka) kwa sababu naye alikuwa akihangaika kufanya juhudi zilizomfanya Leo umsikie

Tenga mda wako kutafakari ufanye nini ili na ww ufike unapopataka

Tafakari Upya kabla haujafika wakati wa ww kuchoka

Zungumzia misingi itakayo kujenga kumtii mungu na kutengeneza maisha yako .

[HASHTAG]#jikubali[/HASHTAG]
[HASHTAG]#unaweza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#kwapamojatunaweza[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom