Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu.
mkuu bora uiuze tu hiyo gari, kuliko kuingia kwenye mambo ya riba yatakuumiza bure.Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu.