Wabunge tupieni macho suala la utozwaji wa "wharfage charge"

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,075
2,316
Tozo hii ilikuwa inatozwa na bandari kwa kiwango cha 1.6% ya thamani ya mzigo kwa mizigo ya nchini na 1.25% kwa mizigo ipitilizayo (transit). Kwa sasa tozo hii inatozwa na TRA. Hoja yangu ni kuwa hii tozo sio kodi na wala sio sehemu ya ukojotoaji wa gharama za bandari. Tozo ya gjarama za bandari ni "handling charges". Nashindwa kuelewa sababu ya kutoza tozo hii. Nawaomba wabunge mpendekeze tozo hii iodolewe hasa kwa mizigo ya transit ili kuvutia zaidi wapitishaji wa mizigo hiyo kupitia bandari zetu.
 
Back
Top Bottom