Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

kwa muda mrefu ss mm pamoja na wachumi wnaharakati wenzangu wa chuo cha kumbukumbu ya mwl nyerere(mwl nyerere memorial academy) tumekuwa tukifuatilia kuanzishwa kwa jukwaa la wachumi(economics...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF . . . naamini humu kuna wachumi waliobobea. Nataka nifahamu, mfano Tanzanian Shillings ipande thaman mpaka kufikia dola moja ya kimarekani, 1 US $ inabadilishwa kwa Tsh 4. Hivyo mwenye Tsh...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Natafuta Toyota Raum. Je ni showroom gani hapa Dar naweza kuipata? Au kama kuna mtu anayo na anaiuza, anipm ili tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naamini swali langu litajibiwa, Nimekulia Mwanza utotoni na ukubwani nikahama kutafuta maisha kona zingine za nchi. Ninakumbuka wakati fulani hapa nchini kulikuwa na mafuta ya kupaka kwenye...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Ndugu wazalendo, Labda kuboronga kwa viongozi wetu kupo ndani ya DNA yetu. Juzi katika vijiwe vyangu. Mdau akawa anabonda viongozi wa Tanzania. Mara akapokea simu kutoka bongo. Katika mazungumzo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Antrim Energy Inc.: Agreements Signed for Exploration Licence in Tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wachakachuaji mafuta sasa ‘cha moto’ Januari Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 22nd December 2010 @ 23:55 WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nafikiria kuanzisha day care hapa Dar lengo hasa likiwa ni kwa ajili ya watoto ambao hawajaanza shule. nimepata tu wazo ila kwa kweli sijui ni wapi ntatakiwa kuanzia namaanisha kwa vitu kama...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Salaam, mimi ni mteja wa huduma za mtandao wa TIGO kwa muda mrefu.nimekuwa nikitumia mtandao huu tangu enzi za mobitel ,buzz,na sasa Tigo. Kwa masikitiko yangu mtandao wa Tigo pekee ndio hauna...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wizi kupitia huduma ya M-Pesa ulioanza kujitokeza nchini kenya si ajabu akaanza kufanyika pia ndani ya nchi yetu hivyo tujitahidi kuchukua tahadhari!! soma visa vifuatavyo hapo chini ili yasije...
0 Reactions
5 Replies
25K Views
Serikali yadaiwa sh bil. 7 na TTCL na Bakari Kimwanga SERIKALI pamoja na idara zake inadaiwa deni la sh bilioni 7.2 na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TRL sasa kuongozwa na Watanzania asilimia 100 • Waziri mpya wa uchukuzi aponda menejimenti ya Rites na Betty Kangonga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali kupitia EWURA imeridhia ongezeko la 18% ya bei ya umeme kuanzia January mwakani. Hilo ni pigo kwa mtumiaji na tayari ongezeko hili litakuwa na athari katika uchumi wetu. Wahanga wakubwa...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Wanajamvi, Magazeti mengi ya leo yameandika juu ya hali hii ya kutisha ya kupanda kwa bei ya UMEME kwa asilimia 18.5 ya bei ya sasa...Zoezi hili linaanza mapema Januari 2011, na lina baraka zote...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Gavana wa Banki Kuu alipokuwa anatangaza kuanza kwa matumizi ya Noti mpya hapo January Mwakani 2011, alisisitiza hakuna mda maalumu wa mwisho kubadilisha matumizi ya hizi Noti zinazotumika sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tuesday December 21, 2010 Local News...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
US embassy cables: Swiss tip points to uranium smuggling out of Dar es Salaam # guardian.co.uk, Sunday 19 December 2010 21.30 GMT Summary 1. A senior Swiss diplomat tells his American...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
By ALVAR MWAKYUSA, 19th December 2010 @ 23:07, Total Comments: 0, Hits: 87 AN international charity organization, ActionAid, has released a scathing report accusing the Tanzania Breweries Limited...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kitendo cha kubadilisha notes ni sawa na kuongeza fedha katika mzunguko huu wa kasi ndogo uliopo sasa. Na hii inahashiria kutokuwa na usawa katika Pato la Taifa, thamani ya bidhaa pamoja na huduma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kuna tetesi kuwa leo BOT wanazindua noti mpya. Wenye data zaidi watujuze!
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Back
Top Bottom