Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nasafirisha kiasi kikubwa cha US$ kuja hapo Dar ili kukwepa gharama za Western Union (wao wanatugonga 1US$ = Tshs 1,475.00) Mlioko Dar, bei ikoje mtaani leo?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nilikuwa nsoma mtiriko wa mtukio kuhuus sakata la Dowans. nashauri ingekuwa vizuri muiache thred yenye kichwa habari tajwa hapo juu huru kuliko kuipachika ndani ya thread nyingine na hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapo jani katika pita pita yangu mtaani nimekuwa nikiskia tetesi kuhusu kupandishwa ghafla bei za vinywaji vya kampuni ya coca cola, tetesi hizi zimenishtusha zaidi baada ya kuona matangazo na...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu, Nilipokuwa likizo nilifurahia sana burdani ya muziki wa bendi. Sasa nafikiria kuanzisha yangu kama uwekezaji fulani.Nkaraibisha maoni yenu kama hii bizinesi ni ya ukweli au la.Pia naomba...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Dar es Salaam na mikoa mingi sasa hivi ni kipindi cha joto kali sana. Kama wewe ni mpenzi wa kinywaji baridi aina ya Pepsi na kwenye mizunguko yako ukaona sehemu wamepanga viti vya rangi nyekundu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tanzania is looking to build a US$2bn hydropower power plant. The 2100MW power plant will be located 200km of Dar es Salaam and will be constructed with Brazilian technology. According to...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wapendwa naomba kwa anayejua anijulishe bei ya gold kwa gram! Namaanisha bei ya jumla kwa raw gold kutoka machimboni! thanks in advance!
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Tuesday, 30th November 2010 MARION DAKERS AFRICAN Barrick Gold has found greater-than-expected amounts of high-grade gold in its Nyanzaga project in Tanzania, it said yesterday. The FTSE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wednesday, 01 December 2010 Mwandishi Wetu CHAMA cha Wamiliki wa Malori Tanzania (Tatoa), kimesema Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), ina uwezo wa kuwabana madereva wa malori...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nadhani kwa wakaazi wa Arusha na vitongoji vyake watakuwa wameshaona kwenye mabango mbalimbali barabarani ama kupitia redio ama magazeti ya kuwa iliyokuwa inaitwa novotel mount meru hotel...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapangaji NHC wapewa siku 90 kulipa bilioni 9/- na Marietha Mkoka SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), linadai sh bilioni 9...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF, jana nilikwenda kwa wauza magazeti kununua gazeti fulani. Kufika pale nikakuta gazeti nililolihitaji halipo. Kwa kuwa nilikuwa nalihitaji sana gazeti hilo nikalazimika kumuuliza muuzaji wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
East Africa Connection is a not for profit company which aims to promote regional SMEs to access East Africa Common market in furthering regional integration is organizing the Made in East Africa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ninapenda kusomea mining engineering...vp soko lake na biashara yenyewe na manufaa kwa upande wa mishahara na mambo yafananayo na hayo...?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeshawahi kunywa soda mitaa tofauti tofauti nikapata bei tofauti, pengine wanauza Tsh.500, sehemu nyingine nlikuta Tsh.600 japokua kwenye kizibo imeandikwa Tsh.450 nikashindwa kuelewa kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PayMaster ushers in a new era for credit cards in Tanzania Internet users living in Tanzania will now be able to afford buying goods and services in addition to accessing members only websites...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wachimbaji madini wakabiliwa na ukosefu nguvu za kiume Send to a friend Tuesday, 30 November 2010 21:15 0diggsdigg Fredy Azzah ZAIDI ya asilimia 80 ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dah... tangu jana hakuna kinachotoka wala kuingia, si email, si web browser wala kupiga simu.. hakuna chochote zaidi ya wizi tu aisee, ngoja tuone watatuambia nini tutakapoomba print outs za call...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Miaka zaidi ya kumi iliyopita, nilikuwa likizo DSM jumapili moja nilikwenda Kanisani nikakutana na ndugu yangu ambaye tulikuwa hatujaonana muda mrefu,basi tukakubaliane nikamwone kesho kutwa yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba kujuzwa process, kutoka sifuri mpaka kuanzisha kampuni. Nahitaji kujua legal processes na recommendation zenu. najua tu lazima upitie sehemu kama Brela/TRA et al lakini sijui Full...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom