Kwanini Watanzania Hawaaminiki Kwenye Kodi au Biashara

Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
5,063
2,471
Ndugu wazalendo,

Labda kuboronga kwa viongozi wetu kupo ndani ya DNA yetu. Juzi katika vijiwe vyangu. Mdau akawa anabonda viongozi wa Tanzania. Mara akapokea simu kutoka bongo. Katika mazungumzo ya simu akamwagiza mpigaji kuwa mizigo ikifika bandarini basi wamuone mtu fulani hili wasilipie ushuru.

Kuna vijana wengi tu wanaokwenda Dubai au China. Lakini faida yao inapatikana kwa kukimbia kulipa kodi.
 
tunapenda sana shortcut Watanzania na kwakuwa viongozi wetu wamejua hilo ndio wanatumia mwanya huo huo kutukandamiza
 
Back
Top Bottom