Uzinduzi wa noti mpya BoT 2010


K

kaka mtu

Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
17
Likes
0
Points
0
K

kaka mtu

Member
Joined Nov 15, 2010
17 0 0
Wadau kuna tetesi kuwa leo BOT wanazindua noti mpya. Wenye data zaidi watujuze!
 
Humphnicky

Humphnicky

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Messages
1,878
Likes
607
Points
280
Humphnicky

Humphnicky

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2010
1,878 607 280
wanataka watuletee noti za shili milioni moja, laki tano, na laki moja
 
Dreamliner

Dreamliner

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2010
Messages
2,033
Likes
8
Points
135
Dreamliner

Dreamliner

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2010
2,033 8 135
Another Zimbabwe.........
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,147
Likes
105
Points
160
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,147 105 160
Inawezekana sana wakafanya hivyo, ukizingatia noti zilizopo zishapoteza thamani. Inawezekana sasa wametengeneza noti ya elfu 20 na elfu 50 kama wenzetu Uganda. Mwenzake Mkapa alikaa madarakani miaka 10 bila kuleta not nyingine. Na zaidi sana not ya 10000 ilianza kuwa adimu. Lakini sasa not ya 10000 ndiyo iliyopo kwenye mzunguko. Hii ni hatari sana.
 
Mpevu

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
1,813
Likes
6
Points
0
Mpevu

Mpevu

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
1,813 6 0
noti mpya tena, wachumi wanasemaje...!
Je! zahitajika kwa sasa ama ndo...inflation.
 
Rich Dad

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Messages
738
Likes
7
Points
0
Rich Dad

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2010
738 7 0
Mwenye kufahamu hili jambo tafadhali ufafanuzi!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,418
Likes
38,599
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,418 38,599 280
Uchumi umedorora KiKWETE anawadanganya Watanzania eti uchumi umekuwa
 
R

Retreat

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
224
Likes
12
Points
35
R

Retreat

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
224 12 35
Sio leo kaka mtu, ni kesho Ijumaa. Nasikia wanatuletea noti ya 100,000 na pia itakuwa haina sign ya Mramba wala Balali . Hebu tusubiri tujione.
 
mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
8,769
Likes
2,323
Points
280
mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
8,769 2,323 280
Wadau kuna tetesi kuwa leo BOT wanazindua noti mpya. Wenye data zaidi watujuze!
Niko bize kutengeneza mkokoteni wa kubebea hela nikienda shopping,tulikuwa tunaicheka Zimbabwe kiko wapi?si aheri ya Zimbabwe wao wana vikwazo na sisi je wenye amani,utulivu,midhahabu ,tutasingizia nini na huo mfumuko,muda si mrefu tutatembeza bakuli kwa RA na Mzee Mamvi
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
346
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 346 180
Wanataka waweze kutorosha amount kubwa za fedha kwa volume ndogo...nothing else!
 
M

mikimba

Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
7
Likes
0
Points
0
M

mikimba

Member
Joined Oct 20, 2010
7 0 0
Hivi hisa za makampuni makubwa Vodacom,Airtel,Migodi wanamiliki mafisadi wachache na Data zinaeleweka.wenzetu kenya Safaricom hisa zake ziliuzwa adharani.Mafisadi hao wamepewa tenda ya kutengeneza noti ,Maskini watanzania kazi kwenu mmekwisha au mnasubiri Masiya atakaporudi.Basi kesheni mkiomba na Mungu atawasikia endelea kulala.
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,841
Likes
49
Points
145
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,841 49 145
Wanataka waweze kutorosha amount kubwa za fedha kwa volume ndogo...nothing else!
Mkuu watatorosha madafu yetu wapeleke wapi?hayana thamani kabisa mkuu duniani!!
 
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
239
Likes
16
Points
35
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2010
239 16 35
Mwenye kufahamu hili jambo tafadhali ufafanuzi!
why does Paka sounds like operative most of time? lee me teelya: Its a good thing. the most important, BoT need not to devalue their karen. FaceBook is not Obama but a Chineese dude, they block Them fully Hungry by Mr. Marley. so lets talk over there, its ok, chinese would love that. Since your name is Rich Dad, here is what my Poor Dad told me in when, i was a Tanzanian. this one for you Richie, enjoy it.

Poor Dad is Rich Dad! Here's what he told me:
Contentment makes poor men rich; discontent makes rich men poor:
1. Love People not Money and Possessions
2. Choose your Friends Wisely
3. Resist the Urge to Compare Yourself with Others
4. Maintain an Appreciative Attitude
5. Satisfy your Spiritual need and respect that of others
6. Practice Continue Education by reading books and videos etc. You don't have to go to school for that. You can do it with your cells phones.
7. Choose your Friends Wisely

The Miseducation of Wabunifu
 
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
239
Likes
16
Points
35
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2010
239 16 35
Wanataka waweze kutorosha amount kubwa za fedha kwa volume ndogo...nothing else!
Bro, go to your law firm and wait we gonna call you when we need you. This is freaknomics, you can say all theoris, but if i were you, I would just seek an understanding here. That is what we do on this underground rail road, ecom forum. However, on this great future, please dont forget your friends. and please, we will not kick you out, but rather we seek to help. but then, you have already jump to conclusion. I dont know your discipline but then, no one incourage that kind of hasty generalization of yours. I like you tho. dont get me wrong, i am just try to help the brother thats all. Kikwete actually is a right person as of today. so, lets talk how to help him. he actually stand for the samething that my buddy was preaching. forget the currency, Most countries have allowed to print, Just like New york. So, ukitaka nishushe vitu kama nyuzi, Use FB Jammi forums and i will see what i can do for Bro? Please only one time question. Gracias seneor Pussycat :)))) no ofensi pakashume :p
 
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
2,560
Likes
4
Points
133
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
2,560 4 133
this is nothing but INFLATION, na bado watz mtalia sana maana hali inazidi kuwa ngumu kila kukicha vitu vinapanda kama sky rocketing..
 
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
239
Likes
16
Points
35
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2010
239 16 35
this is nothing but INFLATION, na bado watz mtalia sana maana hali inazidi kuwa ngumu kila kukicha vitu vinapanda kama sky rocketing..
My fellow JFMallaba, on this underground rail road, we want supported Technical conclusion. We dont do cheap politiking, you got dat? We would like to hear ya, but what is your premesis? Start with what is inflation and what causes it. just to help be a good of our guest here. And please, i like you already, so Usitupe mti na Jongoo, pls come back.

If you are not sure you are welcome to ask any tough question with regaord to EAC members, economic policy and fiscal policy.
 
zaratustra

zaratustra

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
852
Likes
88
Points
45
zaratustra

zaratustra

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
852 88 45
Sio leo kaka mtu, ni kesho Ijumaa. Nasikia wanatuletea noti ya 100,000 na pia itakuwa haina sign ya Mramba wala Balali . Hebu tusubiri tujione.

Hivi sasa signatures za hao kwenye red, zimeshaanza kuondolewa!
Kama mfuatiliaji mzuri utagundua kwa sasa kuna noti mpya za sh. 2,000 (zinazotumika sasa), ambazo zina signatures za Ndullu na Mkullo!
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,392
Likes
467
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,392 467 180
Kwa hal jinsi ilivyo ya laki moja itatufaa sana!
Bse laki unaweza imaliza ndani ya siku moja
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,286
Likes
30,399
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,286 30,399 280
Wadau kuna tetesi kuwa leo BOT wanazindua noti mpya. Wenye data zaidi watujuze!
kaka mtu, mimi nitakuwepo hapo ukumbi wa BOT wakati wa uzinduzi wa hizo noti mpya utakaofanywa na gavana Ndulu.

Wana jf kwa speculation ni mwisho, hebu na tusubiri hiyo kesho tuone hizo noti za laki na elfu hamsini zinazozungumzwa humu!.
 

Forum statistics

Threads 1,238,662
Members 476,083
Posts 29,325,912