Umeme wapanda kwa 18.5% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wapanda kwa 18.5%

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by PakaJimmy, Dec 21, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi,
  Magazeti mengi ya leo yameandika juu ya hali hii ya kutisha ya kupanda kwa bei ya UMEME kwa asilimia 18.5 ya bei ya sasa...Zoezi hili linaanza mapema Januari 2011, na lina baraka zote toka EWURA.

  Hali hii inakuja wakati kuna shida kubwa ya mgao, na tena usio na taarifa wala apology.
  Wanajamvi, huu ndiyo mwisho wetu wa fikra juu ya kubuni namna mbadala za uzalishaji?...mateso haya yataendelea hata lini?...Labdsa kuna wanajamvi wengine wana altenatives za kusaidia kuepusha taifa hili na janga la unreliability ya uwepo na bei za umeme, atusaidie.
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndiyo hayo maisha bora kwa kila Mtanzania. kila kitu chapanda bei, kipato cha mwananchi chazidi kudorora
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ni muda muafaka wa kusema No No No No! No more, we are tired of this situation. Sote tunajua jinsi gani umeme/nishati ya umeme ilivyoya mhimu katika maendeleo ya nchi.
  Lakini viongozi wetu wasivyokuwa na mpango maalumu wanatupiga siasa kwenye inshu nyeti kama hizi tena miaka nenda rudi.

  Kuna sector ambazo hatuhitaji maamuzi ya kisiasa, lakini kwetu ndo kwanza tunatafutiwa umaarufu. Hizi sector zinatakiwa kuwa dira/Maazimio/malengo ya taifa ambayo kila raisi atakayechukua nchi lazima ahakikishe zinapiga hatua siyo kuziua.

  Kwenye hizi sector wanasiasa hawatakiwi kuwa na kiburi, its the matter of giving them the facts wasipokubali mnawaweka hazarani tena bila kumumunya. Bila hivyo, tunawapa nguvu bila kujua kuwa kuwanyang'anya ni gharama kubwa.

  Siyo tu nishati ya umeme, bali hata maji utaona jinsi gani watu walivyojiaminisha shida zote hizi ni sehemu ya maisha yao.

  Mimi naona tuanze kuandaa mabango ili tarehe ya kuanza kutuuzia bei mpya, ndo mwongozo uanzie hapo. nawasilisha
   
 4. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwauelewa wangu mdogonahisinimladiwawakubwa nakumbuka TTCL walitusumbuwasana ilivoluhusiwaushindanina makapunimengine leoatakamaninguzo 10 hakunausumbufu jee tnc wanasubilinini? leokamaunatakaumeme kz nguzo waya navikolokolovyote hadi vibaluwa unapigiwamahesabuulipie sijuwi wanasubili nini kuluhusu makampun ilikuwena ushindan maishabora kwa kira mtz? tutafika
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wanapandisha bei ya umeme sio kwasababu wanataka kuboresha huduma hizo kwa wananchi na viwanda bali wako katika mkakati wa kukusanya pesa za kuingilia madarakani mwaka 2015!! Upandishwaji wa gharama za umeme zinatokana na madeni watawala wetu waliotubebesha kupitia miradi yao ya IPTL,RICHMOND/DOwans pamoja na kulipa gharama za mabango ya kampeni za ccm; nadhani wakati sasa umefika kwa wananchi kusema basi imetosha litakalokuwa na liwe!
   
 6. monge

  monge Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 10, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maisha hayo!!
   
 7. n

  ngoko JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  PakaJimmy, Vitu vingi vimepanda bei, nahisi ni matokeo ya matumizi makubwa ya wakati wa uchaguzi, sasa tunavuna matokeo yake. ni kwa sababu tu hii bidhaa huhitaji baraka za EWURA ndiyo maana imechelewa kupanda otherwise ingeenda pamoja na vitu vingine vya msingi. Tuvumilie maana tukilipa na ile 185 bil. yawekekana tukatangaza ile miezi 18 ya kujifunga mkanda ambayo haikuisha ( wakati wa vita vya Amin)
   
 8. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  wewe utakuwa mmoja wao, maandiko yako yanafanana nao kabisa....nani kakuambia haya ndio maisha?
   
 9. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  i thinks so
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Broda, wenzetu wadosi huko ukipandisha bei ya mkate tu, kesho yake hutoki humo ofisini mwako, unazingirwa...Sababu kuu za kupandisha bei ya umeme haziridhishi kabisa...
  Ukweli uliopo ni kwamba watendaji wamefikia mahali akili zimedumaa, hawana maono tena, wanawazafedha badala ya huduma kwa taifa...
  Dawa ya kuandamana inaweza kusaidia kwa kiasi fulani kuwaamsha hawa vipofu viongozi wetu walioko usingizini...
   
 11. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania. Nadhani wanatafuta pesa ya kuwalipa dowans(rostam azizi).
   
 12. Loner

  Loner JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tukisema kwamba tuanze kuandamana juu ya matatizo ya hapa nchini basi kila siku tutakua hatufanyi kazi bali tunaandamana... Solution ni kupata campuni mbadala ya umeme, tukipata competition kidogo TANESCO watakua na heshima debe kama TTCL...
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Loner,
  Nakubaliana na wewe kuwa matatizo ni mengi sana hapa nchi kiasi njia ya maandamano haitakuwa suluhu.
  Lakini shida ni kwamba wakubwa wanajua kuwa wakifanya lolote hakuna reaction yoyote toka kwa wananchi, na hivyo wanarelax na kuendelea kugawana National cake peke yao!
  Tukiandamana hatutasolve suala la umeme, lakini tutaonyesha hisia zetu, na kwamba tuko touched na uzembe wao mno...i mean its just a token to air out what aggrieves us most!

  Mind you, kupanda kwa umeme kutastimulate inflation ya almost kila kitu!
   
 14. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Tulishawachagua fanyeni mnavyotaka, hii nchi ni yenu wenyewe.

  Bati moja gauge 30 futi 10 ni Tshs 15,000/
  Bati Moja gauge 30 futi 6 ni Tshs 12,000/-
  Bei ya mfuko wa sementi ni Tshs 12,500/-
  Bei ya Petrol kwa lita Tshs 1,800/- (Nauli juu, bei ya bidhaa hasa chakula juu as a result)
  Mchele kilo Tshs 1,250/-
  Sasa tunaambiwa na Umeme bei juu

  Kuna maisha kweli Tanzania hii? hapo sijaweka huduma duni za afya na elimu.

  Maumivu matupu.
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Halafu watu wasahau yote haya ndani ya miaka 5 tu, na kurudia makosa.
  Mbaya zaidi, those who were the serious supporters of the ccm regime are the ones who are HIT-HARD by the inflations currently in action.
   
 16. n

  ngoko JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bahati nzuri wafuasi wa sisiemu ni watu makini sana , sababu watakazopewa na viongozi wataridhika na kuendelea na maisha kama kawaida.
  Kidumu chama cha sisieni, zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa sisiem
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wamebana wakati wa Rashid alipropose kupandisha bei ya umeme sasa naona yamewashinda wameachia bei ipande. Wanasiasa wanaliua shirika kama hamjui
   
 18. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  na bado watarudi au kurudishwa madarakani 2015
  kwa lipi hasa la maana?wikileaks ishatoa madudu ya Tz nk

  umeme wenyewe mgao wa kishenzi
  maji hayafiki mahali ndani tu ya jiji
  barabara ndo usiseme
  parking fees za kijinga
  wezi na wachakachuaji
   
Loading...