VANCOUVER, Nov. 22 /CNW/ - Tanzania Minerals Corp. (the "Company") (TSX-V: TZM.V) (FRANKFURT: CA87600X1087) is pleased to announce that it has entered into an agreement with Primary Capital Inc...
Tunaomba wahusika wa ticts wawe na mtazamo +(chanya),una myima mteja waiver ya storage ya mzigo mpaka unafikia kuuzwa mnadani na customs and excise,unakuta gharama za ticts storage ni kubwa mara...
Habari wana jamvi.
Jamani naombeni msaada kwa mwenye uelewa, nahitaji kufuga kuku wa mayai ila eneo ninalotaka kufugia umeme bado haujafika, je naweza kutumia nishati gani mbadala.
Natanguliza...
Baada ya kubadilisha jina kutoka Celtel kwenda Zain mwaka 2008, kampuni ya Zain inatarajiwa kuanza rasmi kutumia jina jingine jipya la Airtel kuanzia tarehe 22 November 2010 (jumatatu ijayo). Hii...
Ndugu wana jamii ninahitaji kuchimba kisima cha maji safi,ila sina uelewa wa makampuni yanayohusika kuchimba visima,ninaomba yeyote anayefahamu company yoyote inayochimba visima kwa bei nafuu
The top ten brands in Tanzania, according to the research findings, were Azam, Nokia, Blue Band, Tigo, Vodacom Tanzania, Kilimanjaro Pure Drinking Water, Whitedent, University of Dar es Salaam...
Juzi nilikuwa Morogoro mjini na nilipita maduka kadhaa ya jumla nikitafuta battery aina ya Duracell size AA.
Maduka mengi hazikuwepo ila kuna Bwana mmoja anauza TV na satelite dishes ambaye...
Najua siku hizi mnadai mnafanya kazi kwa mtandao,mtu ana lodge document leo inachukua siku 8 mpaka 10 na hapo unafuatilia ,wakati mwingine inasahaulika kabisaaa!,halafu kibaya zaidi wakati...
Gazeti la Majira linatuhabarisha ya kuwa huko Kibaha huu mkasa umewakuta wanavijiji wanyonge..........
sijui wanavijiji hawa walengwa walipigaje kura..............................kama walichagua...
I have a good agriculture plan which will yield a profit of 15m within 4 month but it need a capital of 10m.for anyone interested with this please contact with me with adress firstone2011@yahoo.com
wadau poleni na mihangaiko inayotuweka mjini, naomba mwenye ujuzi au uelewa wa malighafi inayotumika katika utengenezaji wa vioo anijulishe jamani, na je hapa kwetu Tanzania kuna kiwanda...
Habari fellows! binafsi napenda kujua na ninashauku kubwa kwanini budget ya nchi yetu uandaliwa na non-economists nkimaandisha mawaziri ambao wengi wao hawajasoma uchumi indeep nakusabisha...
Im often asked how social networks can be used for practical business purposes. While convincing people that LinkedIn is a good professional tool is not hard, many folks are not using Facebook...
Salam wakuu,
mlioko mjini (dar), hivi wazo la kuwa gaming centre yenye machine za kisasa inaweza kulipa?
Tafadhali nijuzeni, kama kuna game centre yenye mashine za kisasa wanatoza bei gani (kwa...
Msaada kwenye Mtaro hapo!!Hivi jamani wakuu kwa niaba ya mke wangu ambaye anataka kufanya biashara ya kupeleka bidhaa zilizotengenezwa na ukili! ila sasa mpaka sasa hivi bado tunahangaika kujua...
Inasikitisha Kwakweli Katiaka Ulimwengu wa sasa pale Demand ya Service ni Kubwa ila hamna Supply. Nimezungukia Tanesco Mpaka Nimechoka, ni Mwezi wa Nane huu hawa jamaa wanajisuasua tu kuniwekea...
Kuna habari za ndani kuwa TANESCO imefilisika wala haikopesheki tena.source katibu mkuu wa wizara!kama kuna mwana jf aliye na data zaidi amwage hapa. Tukumbuke 8% only ya watanzania ndio wapatao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.