wachumi,hii ni haki kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachumi,hii ni haki kweli?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Biggest IQ, Dec 25, 2010.

 1. T

  The Biggest IQ Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa muda mrefu ss mm pamoja na wachumi wnaharakati wenzangu wa chuo cha kumbukumbu ya mwl nyerere(mwl nyerere memorial academy) tumekuwa tukifuatilia kuanzishwa kwa jukwaa la wachumi(economics forum) hapa chuoni kwetu.jukwaa ambalo litatupa mwanya wa kujadili mambo mbalimbali ya uchumi kiuhalisia zaidi ya tunayoyasoma vitabuni darasani.lakini cha kushangaza chuo kimekuwa kioga sana kutoa kibali hicho.katiba na kila kinachohusika walituagiza tukakamilisha lakini wapi!bado wanasita.hatuna lengo baya ni kitaaluma tu kama vyuo vingine wanavyofanya lakini hapa kwetu imekuwa ngumu jamani.hii ni sahihi kweli jamani?tusaidieni mawazo wachumi wenzetu
   
 2. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jikusanyeni kundi lenu la wanafunzi na hiyo katiba yenu mkajisajili pale Wizara ya Mambo ya Ndani...
   
Loading...