Nicas na gereji yake

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi huyu nicas ana nini?

huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania kuendesha biashara kwa pesa zake binafsi

tangu sie tunasoma shule alikuwa mtaalam wa haya magari ya wakubwa lakini cha ajabu ameshindwa vipi kufungua modern garage badala ya vurugu zilipo pale kwake?

Ushauri wa bure Nicas...hamisha gereji hiyo na kuwa na utaratibu wa kueleweka badala ya kufanyiwa vurugu na vumbi pale mtaani

whats so difficult kufungua gereji eneo la mbali na wananchi say kwenye industrial area?

Kama pesa huna nicas nenda kachukue mkopo benki na hamisha hiyo gereji hapo na jenga modern garage

kama hutaji then jiandae na competition toka kwa vijana wenye uwezo na nia ya ku fanya mambo tofauti na wewe

nimeshindwa kuweka picha za hali ya gereji lakini ile gereji says alot on how much money vijana Dar walivyonazo

wenye facebook page yake mtaziona hizo picha
 
Dah, sijakupata kabisa aisee!!
Huyo Nicas ni nani?
 
sasa ndg.nicas anaijua JF?nenda kamweleze live,ushaur utamsaidia!huku tunawaandikia wale ambao inakua ngumu ku meet nao.
 
Hivi huyu nicas ana nini?

huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania kuendesha biashara kwa pesa zake binafsi

tangu sie tunasoma shule alikuwa mtaalam wa haya magari ya wakubwa lakini cha ajabu ameshindwa vipi kufungua modern garage badala ya vurugu zilipo pale kwake?

Ushauri wa bure Nicas...hamisha gereji hiyo na kuwa na utaratibu wa kueleweka badala ya kufanyiwa vurugu na vumbi pale mtaani

whats so difficult kufungua gereji eneo la mbali na wananchi say kwenye industrial area?

Kama pesa huna nicas nenda kachukue mkopo benki na hamisha hiyo gereji hapo na jenga modern garage

kama hutaji then jiandae na competition toka kwa vijana wenye uwezo na nia ya ku fanya mambo tofauti na wewe

nimeshindwa kuweka picha za hali ya gereji lakini ile gereji says alot on how much money vijana Dar walivyonazo

wenye facebook page yake mtaziona hizo picha

Umenikumbusha huyu kijana alianza jifundishia kazi mtaani kwetu Kariakoo. Azidishiwe kila la kheri.
 
ilmu ndogo ndio maana anakawia ku-upgrade... labda anaissues na tra
 
Dah Bullet Train….ebana eeeh umenikumbusha longi sana jombaaa. Vitoto vingi humu JF havimjui Nicas ni nani wala Bullet Train ni nini. Na wale walohamia mjini miaka ya 2,000 ndo kabisaaaa wametoka watupu!!
 
Kumbe we Jamaa Kikongwe ee!!!..

Dah!!
 
Nicas katoka mbali, na anahitaji pongezi kwa kweli. Kufungua gereji kwenye Industrial area, ni investment kubwa sana, unless unarithishwa kiwanja. Amekwenda US kujifunza kazi, na kununua vifaa, pia SA. Jamaa alianza kwa kufunga mziki kwenye magari Kariakoo, leo ana gereji na anajitangaza vizuri tu. Kuwa hapo ndio uwezo wake, lakini kwa wale tunaomjua toka zamani, kapiga hatua kubwa sana aisee!
 
Dah, sijakupata kabisa aisee!!
Huyo Nicas ni nani?

Ni mshikaji fulani hivi fundi wa magari ya ukweli na ya kisasa na ni mtu wa watu alishawahi kusota mbaya baada ya wengine kumtumia vibaya ila kwa sasa namuona anaendesha Audi Q7. Lakini kwa kweli ile garage inatakiwa mahali panopofanana na aina ya magari yanayoenda kwake palepale mbezi anaweza kupatanua na kuongeza ubora zaidi
 
Hivi huyu nicas ana nini?

huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania kuendesha biashara kwa pesa zake binafsi

tangu sie tunasoma shule alikuwa mtaalam wa haya magari ya wakubwa lakini cha ajabu ameshindwa vipi kufungua modern garage badala ya vurugu zilipo pale kwake?

Ushauri wa bure Nicas...hamisha gereji hiyo na kuwa na utaratibu wa kueleweka badala ya kufanyiwa vurugu na vumbi pale mtaani

whats so difficult kufungua gereji eneo la mbali na wananchi say kwenye industrial area?

Kama pesa huna nicas nenda kachukue mkopo benki na hamisha hiyo gereji hapo na jenga modern garage

kama hutaji then jiandae na competition toka kwa vijana wenye uwezo na nia ya ku fanya mambo tofauti na wewe

nimeshindwa kuweka picha za hali ya gereji lakini ile gereji says alot on how much money vijana Dar walivyonazo

wenye facebook page yake mtaziona hizo picha

Nicas katokea mbali, nilimfahamu kijana huyu alipokuwa Moshi.....alikuwa akisoma na wadogo zangu pale Muungano Primary school. nilipokutana naye Dar........alikuja kumtembelea bwana mdogo pale nyumbani kwangu.......nikashangaa kelele kubwa ya mziki huko nje .....nikaambiwa kuwa ilikuwa ni yeye Nicas..........nikamwita nikamwambia kijana inabidi tukuoze sasa ili upunguze hizo vurugu/kelele.........akapata kabinti kamoja kutoka familia ya Kweka........well......mabwanawadogo wananiambia the boy is doing good............mawazo ya kujipanua kibiashara anayotoa Kijana SlidingRoof ni mazuri..........

Wewe Ngosha ni bwana mdogo sana............nilikuona ukiwa unaruka ruka na akina Gwamaka.........kitoto cha Mar. shemeji yangu..........niamkie...........Buss Ah Laugh!!
 
Dah Bullet Train….ebana eeeh umenikumbusha longi sana jombaaa. Vitoto vingi humu JF havimjui Nicas ni nani wala Bullet Train ni nini. Na wale walohamia mjini miaka ya 2,000 ndo kabisaaaa wametoka watupu!!

Vitoto vya miami/billiards utavijua tuu.

Tuache wazee wa motel agip.
 
Hapa naona mnaonyeshana ubazazi wenu nani zaidi. Basi kila mmoja akibandika AGE yake mbele ya jina lake huo ukongwe na uchekechea utawatoka humu.Point hapa ni jinsi gani huyo Mjasiriamali aondoke pale kwenye vumbi na atengeneze mazingira ya kiwekezaji wa kizawa.Misifa mmemwagia sasa toeni the way forward yake naye asonge mbele. Humu haingii ila wadau wake tupo tutamfikishia japo salaam za JF.Nawasilisha:mod:
 
Soko la EA limefunguka waKenya wanakuja na wana juhudi na maarifa zaidi kwenye kazi. Nicas asitegemee tuukwa sababu tunajuana nimpe kazi...no

aende benki apate mkopo akajenge Workshop ya maana NJE YA MJI na aeke ma Professionals na afungue branches Miji mingine

aache kufanya biashara kama babu zetu...mchagga gani ambaye anaendesha biashara utafkiri si Mchagga?

hii ni changamoto na Nicas should have been mbali zaidi ya hapo alipo
 
Back
Top Bottom