Nina Swali!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina Swali!!!!!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kingdom_man, Jun 8, 2011.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Habarini wanajamvi!
  Hivi kama mtu unataka kujaribu zali kwa kuapply tender za kusupply bidhaa kutoka Tanzania kwenda Abroad in European big supermarkets....
  Ni document gani inabidi uambatanishe, is it proposal, business plan, or company profile au ni kuwaandikia tu barua pepe?!!!.....
  Kwa wajuzi mnaofahamu tafadhali mnifahamishe.....
   
 2. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nafikiri company profile, lakini ingependeza kama ungekuwa na website hapo ndyo ungepiga bao safi. Kwani utazionesha bidhaa zako bila ya shida. Chacharika Robbinhood!
   
 3. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Nimekusoma mkuu. Asante kwa ushauri......ngoja nichakarike hapa.....kitaeleweka tu mwaka huu
   
 4. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Robbinhood, with tender you apply to bid once that 'tender' is floated. Ni nyingi kupeleka mbao, maua, mijusi etc.
  Ila kama ww una bidhaa unataka ku - supply Europe inategemea ni nini unataka kupeleka na una target soko gani, wazungu wenyew, wabongo, wa afrika mashariki au waafrica kwa ujumla?
  Ukiacha madini na wanyamapori bidhaa zetu za shamba na viwandani ni ngumu kuuzika hadi nyingine wameziwekea 'quarantine' don't even dream to sell anything kwenye AGOA market Marekani.
  Ila you still can export dagaa to UK and USA, nikuuzie soko?
   
 5. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Hapo umenikatisha tamaa kabisa kwa hiyo unaniambia if am planing to export matunda/bidhaa za shamba hazlipi!!!!.....so far i only have an idea kwenye bidhaa za shamba kama vile nyanya, machungwa, viazi, mananasi, even peanut- butter etc kwenye European supermarkets kama Asda, Tesco, Sainsbury's through their agents suppliers ........ngoja nicheki na hilo na soko la dagaa then ntakushtua vipi una chanel sio?!
   
 6. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Usikate tamaa ila kwa supermarket hizo ulizozitaja haiwezekani, labda hizi ndogondogo, mfano Tesco wanachukua ndizi toka SA ila wana makubaliano kuchukua kwenye mashamba maalumu kupitia mpango wa fair trading, na isitoshe suala la packing na transportation inakuwa vigumu kwa Tanzania,
  Isitoshe kuingiza UK matunda na mbogamboga unahitaji kibali kinaitwa Certificate of Conformity na bidhaa zako zipasi kiwango cha Ulaya (EC marketing Standard)
  Nimekwambia usikate tamaa kwa sababu nimeshaona matunda toka Kenya, Uganda nk. yakiuzwa UK kwenye baadhi ya Asian na African shops.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  usikate tamaa kabla ya kuuliza.japo kuna masharti machache, utahitaji kuwa na risk analysis docs kwa ajili ya phytosanitary agreements (ambazo wizara ya kilimo na tpri wanatoa nadhani). muhimu tengeneza hiyo website kwanza, na business profile. ukesha anza mawasiliano na watu mbalimbali kuona wanataka bidhaa gani (kuna organic na inorganic). then fuatilia sheria za exportation. unaweza hata kujaribu kupenya soko la ndani kama shoprite na wengineo.hakuna lisilowezekana,la ukishindwa hili utapata idea mpya ya lile mumo humo.

   
 8. babalao

  babalao Forum Spammer

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Soko la ndani umejaribu kwani nalo halijatosheka. Jaribu lkusearch kwenye google utapata majibu mengi.
   
Loading...