Bei ya jumla ya red bull dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya jumla ya red bull dar.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pumba Mwiko, Jun 4, 2011.

 1. P

  Pumba Mwiko Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wana JF.Naomba yeyote mwenye kujua bei ya jumla ya Red bull(Case) na sehemu ninazoweza kupata Dar es salaam.Nipo mkoani na sina mawasiliano na mtu yeyote Dar.Naomba aliye na info za hiyo kitu anijuze tafadhari.Shukurani.
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  wapigie simu Mohans Oysterbay Drinks Ltd Tel: 255 22 2600457 hawa ni wakala nadhani pekee wa red bull tz, kwa mjini dsm wana duka karibu na hospital ya hindu mandal dsm

  watakupa detail zote
  kila la kheri
   
 3. P

  Pumba Mwiko Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mkubwa.mungu akubariki.
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  are u aware of health hazzards za redbull
   
 5. P

  Pumba Mwiko Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Sijui effect zake mkubwa lakini mi nataka za kupigia dili(Kuuza).Ila kama unajua ni wapi ntapata za bei ndogo zaidi nijuze mkubwa.
   
 6. w

  white wizard JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  bei yake,ni tsh.46,000.kwa carton moja.
   
 7. P

  Pumba Mwiko Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Asante mkubwa.Niliuliza ofisini kwa kutumia namba hapo juu na wakasema bei yao ni Tsh.40,000/= kwa case 1
   
 8. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Newmzalendo kakupa angalizo, sio nsuri sana kiafya. Sana sana kwa wanamichezo wanaofanya michezo ya kutumia nguvu nyingi sana.
   
Loading...