Makaa ya mawe/ coal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makaa ya mawe/ coal

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mwakabhuta, Jun 9, 2011.

 1. mwakabhuta

  mwakabhuta Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamii, kuna mtu anafahamu wapi hapa Dar naweza kununua coal au makaa ya mawe. ningependa kujua bei na kiasi cha mzigo wa kuanzia ambao unafika sokoni.

  nahitaji coal kwa ajili ya chanzo cha moto.
   
 2. K

  KANIALE Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Hapo zamani Kiwira Coal Mines walikuwa wanauza hapa Dar es Salaam kwa viwanda sehemu za Nelson Mandela Rd. Sina uhakika kama bado wanafanya hivyo. Anyway mimi niliwahi kufika Kiwira coal Mines na niliona wakitengeneza "coal briquettes" ambazo zimepunguzwa ukali wa moto kwa matumizi ya nyumbani. Jaribu kuwasiliana na Kiwira Coal Mines labda wanaweza kukupa orodha ya mawakala wao kama wanao. Good luck
   
Loading...